heat stroke

  1. May Day

    Nahisi Jamaa yangu anapata heat stroke.

    Huyu Jamaa yangu kutoka Arusha yupo Dar kwa wiki kadhaa sasa. Siku kadhaa zilizopita akiwa anaangalia mpira kwenye kibanda umiza ile mechi ya Yanga na Kengold, kipindi cha pili mwishoni alianza kujisikia kizunguzungu kikali,anasema macho yake yakawa yanashindwa kuangalia screen, kichefuchefu na...
Back
Top Bottom