heavy rainfall

  1. Black Opal

    Hali ikoje huko uliko na mvua hii iliyonyesha siku nzima?

    Wakuu salaam, Mvua leo imetunyoosha kama imejiunga kifurushi cha siku. Yaani toka asubuhi mpaka usiku huu kuna maeneo mvua bado inayesha. Huko ulipo hali ikoje? Njia zinapitika au kumefurika? Wapangaji wenzangu, dalali aendelee kuzima simu au mambo shwari?
Back
Top Bottom