Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amesema amekuwa akikabiliwa na vitisho vinavyolenga usalama na uhai wake kutokana na shughuli zake za kisiasa. Heche amesema vitisho hivyo ni vya kiwango kikubwa kiasi cha kumfanya kuiomba Serikali kuchukua tahadhari ili kuzuia madhara...