Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba...