Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"
Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.
Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!