Faris: Heche alitaka kukimbia na begi la pesa, aliiuza Chadema, leo tunampapasa

Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.

Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"

Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.

Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Mnunuzi alikuwa Nani? Ni UVCCM mlitaka kununua Chadema? Bei gani mlikubaliana?
 
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.

Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"

Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.

Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Huyu nae kaingiaa kwenye mfumoo hahaha hawana agenda zaidi ya CDM na Heche ??
 
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.

Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"

Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.

Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
UVCCM ni wala rushwa mbwa
 
Hapo ndipo CCM mnatakiwa kuelewa kwamba mnapoamua kutoa shutuma za uongo angalau muwe na akili.

Sasa Heche alitaka kukimbia na begi la pesa kwenda nje, nje wapi, Musoma? Na kama ni kwenda nje ya Tanzania angeendaje na begi la pesa? Unaweza kwenda airport ili utoke nje ya nchi na begi la pesa? Unaweza kuingia nchi ya watu na begi la pesa kirahisi tu? Hebu mwambie Faris Buhani ajaribu kufanya hivyo.
 
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.

Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"

Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.

Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Alitaka kukiuza chama kwa nani? Au mlishindwana biashara sasa upande wa pili wa biashara (Buyers) mnaanza kupagawa baada ya (Seller) kuwa mgumu au kuwa na dau kubwa?
 
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.

Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"

Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.

Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Hivi CCM hamuvionagi vyama vingine zaidi CDM? Kila fisadi lazima azungumzie chadema as if ndicho chama pekee cha upinzani. Hili linathibitisha kuwa CDM ndicho chama kikubwa cha siasa Tanganyika
 
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.

Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"

Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.

Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Heche ndo habari ya mjini. Kila mtu wa CCM yeye na heche tu basi itakuwa anawepelekea pumzi ya moto kila uchao.
 
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.

Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"

Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.

Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Eti hili tahira nalo ni likiongozi la ccm ndio maana lichama limekufa.
 
Back
Top Bottom