Faris: Heche alitaka kukimbia na begi la pesa, aliiuza Chadema, leo tunampapasa

Faris: Heche alitaka kukimbia na begi la pesa, aliiuza Chadema, leo tunampapasa

Na hao ndio vipanga huko UVCCM hakika ni maajabu.

Hivi zama hizi kuna mtu anaweka pesa kwenye mabegi ?
 
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.

Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"

Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.

Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Kama ni kweli au hapana muda utaongea.
 
Back
Top Bottom