Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la machapisho mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa Heche na Golugwa wamejihusisha na ubadhirifu wa fedha ndani ya Chadema.
Chapisho hilo, ambalo limesambazwa katika vikundi na kurasa mbalimbali za...