hedhi

  1. R

    Hali ya mtu kuwa na hasira wakati wa hedhi

    Kwa ninavyokuelewa ni kwamba jambo hili husababishwa na maumivu makali kama ya tumbo au kichwa lakini pia maumivu ya mgongo ambayo hupelekea kupanda kwa dopamine
  2. Hivi zama hizi mtoto wa kike anaanza kuingia hedhi (kuvunja ungo) kuanzia miaka mingapi?

    Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
  3. Mpenzi wangu anaingia kwenye siku zake (hedhi) tukikutana

    Habari wana Jamvi, Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo. Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya tendo na kuwa na wasi wasi mwingi mno hadi muda mwingine ananikwepa kunipa penzi...uhusiano wetu ni...
  4. N

    Namna ya kukokotoa siku ya kupata ujauzito na mzunguko wa hedhi kwa urahisi | How to can you know your menstrual circle and a day to conceive?

    NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO NA MZUNGUKO WA HEDHI KWA URAHISI | HOW TO CAN YOU KNOW YOUR MENSTRUAL CIRCLE AND A DAY TO CONCEIVE? Inaletwa kwenu na Kelvin Nyagawa Kupitia somo hili dakika 5 baada ya kumaliza kusoma utakwenda kufahamu jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi kwa urahisi...
  5. B

    Barrick yashiriki maadhimisho ya Siku ya Hedhi Salama Duniani kwa vitendo

    Meneja Mawasiliano wa Barrick nchini, Georgia Mutagahywa (wa pili kushoto) akikabidhi taulo za kike kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mwananyamala B,Modeta Mushi, zilizotolewa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasitiri watoto wa kike.Wengine pichani ni Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi...
  6. Maandimisho ya Siku ya Hedhi salama

    Siku ya Hedhi Salama huadhimishwa ikiwa na lengo la kuleta pamoja sauti za wadau mbalimbali ili kuhamasisha Hedhi salama kwa Wasichana na Wanawake Siku hii huvunja ukimya na kubadili mitazamo hasi iliyopo katika Jamii kuhusu masuala ya Hedhi Maadhimisho haya yanalenga kuhamasisha upatikanaji...
  7. M

    Kushindwa kubeba ujauzito na kukosa hedhi kwa muda mrefu

    Habari zenu wadau, Naomba kushea hii kitu, kuna mtu nimekutana naye ana shida ya uzazi lakini mwanzo aliweza kubeba ujauzito na kujifungua mtoto mmoja. Baada ya hapo hakuweza tena kubeba ujauzito wala kupata hedhi kwa muda wa miaka 4 hadi sasa. Mwenza wake alijuzwa na madaktari kuwa mkewe...
  8. Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7 na Kupata Ujauzito

    Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7. Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi. Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi ili mimba iingie. Bila kujua hilo anaweza kumaliza waganga wote akijua yeye ni mgumba. Credit: Dr. Kala
  9. Kufanana kwa hedhi ni Imani tu

    Wanawake wamekuwa wakielezwa kuwa kuishi au kukaa na wanawake kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mizunguko yao ya hedhi kufanana. Lakini wakunga wanapambana kuvunja imani hio, wakionyesha kwamba imani hizo ni za zamani na haina msingi thabiti katika sayansi. Daktari Jen Gunter, daktari wa...
  10. W

    SI KWELI Kunyanyua vyuma kunaweza kuleta dalili za mapema za kukoma hedhi

    Kukoma hedhi ni wakati ambapo mzunguko wa hedhi wa mwanamke hukata. Ki kawaida hutokea mwanamke anapokaribia umri wa miaka hamsini. Wakati hedhi inapokaribia kukata, wanawake hupitia dalili mbalimbali kama mzunguko wa hedhi usio wa kawaida, matatizo ya kihisia na ya kimwili ambayo hawajawahi...
  11. KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Hapo zamani KKKT hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa Walokole. Je, kwa mwanamke alie kwenye mzunguko, ni sawa kuendesha ibada takatifu? Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada. 1 Timotheo 2:12 >> "Simruhusu mwanamke yeyote...
  12. KWELI Inawezekana kuwa kwenye siku za hatari ukiwa kwenye siku za hedhi

    Nina swali ndugu zangu hivi inawezekana siku za hatari zikaangukia katika mzunguko kuingiliana na siku za hedhi? Mfano, siku za hedhi ni tano ile siku ya 4 au 5 ikiwa siku ya hatari?🤔
  13. SI KWELI Wanaume pia hupata mzunguko wa hedhi kama wanawake

    Kuna tafiti za hivi karibuni zimethibitisha kwamba hata wanaume hupata hedhi, ingawa wanaume hawana alama za nje za kuwaonesha kwamba wako kwenye hedhi, kama walivyo wanawake ambao hutoka damu siku zao za hedhi zinapofika na kukamilika. Dalili za mwanaume aliye kwenye hedhi ziko akilini...
  14. Msaada: Period (hedhi) inanitesa

    Habari zenu wakuu. Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi. Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini. Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata...
  15. Sijaona hedhi yangu ya mwezi huu July, nitakuwa na mimba?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa saba nilikutana na baba watoto tarehe 4/7/2023 na tarehe 5/7/2023 Nimejaribu kupima kipimo kinaonesha negative ila nikitumia tochi...
  16. Hamu ya tendo la ndoa wakati wa hedhi

    Homoni ya 'Estrogen' hupungua mwanzoni mwa mzunguko wa hedhi na kisha huanza kupanda kwa kasi kwa siku ya pili au ya tatu. Hii hupelekea mwanamke kupata hisia na hamu kali ya tendo la ndoa akiwa katika siku za kukaribia kupevuka kwa yai. Ikiwa mwanamke atapata hamu na hisia ya tendo wakati...
  17. Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

    Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!. Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana. Mimi si mara ya kwanza kunyimwa unyumba kwa sababu...
  18. Republican kuzuia masuala ya HEDHI kuzungumzwa wazi katika jamii kwa sababu ya ufaragha wake

    As local bills on gender, sexuality and diversity make their way through Florida’s state legislature, new legislation would ban any discussion of menstrual cycles in school before sixth grade. That breaks from the advice of medical providers who recommend talking to children about puberty and...
  19. KWELI Mwanamke anaweza kupata ujauzito akiwa ananyonyesha, kabla hajaona hedhi yake ya kwanza

    Kipindi cha afya hai ya uzazi wa mwanamke hutawaliwa na mizunguko ya hedhi ya kila mwezi ambayo hukoma baada ya kupata ujauzito, muda mchache baada ya kujifungua na pia baaada ya kufikia umri wa ukomo wa hedhi. Kwa maana rahisi, mwanamke hawezi kupata ujauzito ikiwa hapati hedhi. Hata hivyo...
  20. S

    Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

    Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi: 1. Endometriosis. 2. Uterine fibroids. 3. Adenomyosis. 4. Pelvic inflammatory disease. 5. Cervical stenosis. (Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada) Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…