Kiasi na muda wa kutokwa na damu ya hedhi kwa ufanisi wa homoni ya ''estrogen'' kunaweza kutofautiana sana, kulingana na muda na kiasi cha homoni ya 'Estrogen'' kilichopokelewa na tabaka la ndani la mji wa uzazi (endometrium).
Sababu kuu ya mwanamke kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa...
Kundi la Bunge la Morocco limependekeza mswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi yenye malipo.
Katika kile ambacho kitakuwa sheria ya aina yake kwa eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika, pendekezo la kikundi cha haki za kijamii cha shirika la Bunge la Morocco...
Takwimu kutoka Shirika la Mfuko wa Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa, kila mwezi, takribani wanawake bilioni 1.8 ulimwenguni kote hupata hedhi. Mwanzo wa hedhi kibaiolojia inamaanisha kuwa kuna awamu mpya katika uwezekano wa ongezeko la mwanadamu duniani, yaani upatikanaji wa...
Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020.
Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu wa Haki Jamii, Shona Robinson imesema Halmashauri na watoa Elimu watalazimika kisheria kuhakikisha...
Nini maana ya hedhi,
Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili (karne ya 21 Toleo jipya) uk wa 147.
Nakumbaka mwaka 2007 ni kiwa darasa la tano ndani ya darasa letu...
Wanasayansi huko nchini Marekani wamesema chanjo ya Covid 19 inaharibu mzunguko wa hedhi kwa wanawake kwa zaidi ya 55% ya wanawake wote waliochanjwa.
Utafiti huo umefanywa na University of Illinois na Washington University School of Medicine umebaini kua 56% ya wanawake waliochanjwa covid 19...
Kuna huu msemo .
Mwanamke akiwa kwenye hedhi haruhusiwi kuchuma mboga za matunda kama vile nyanya maji,nyanya chungu,pilipili washa na hoho.
Pia vilevle haruhusiwi kupita au kushika majani ya hizo mboga akiwa kwenye siku zake.
Kwa hiyo kama ni kweli ndo ivo kuna uhusiano gani kati ya hedhi...
Kila Siku tu ukifungulia Redio mbalimbali Mada nyingi ni Hedhi kwa Mabinti hadi wengine sasa mnatutia Kinyaa tu kutokana na wengine kuelezea jinsi Damu zinavyotoka.
Huu muda mnaoutumia kufanya Kampeni za Hedhi Salama kwa Mabinti utumieni katika Kuwajenga zaidi Kimaadili na kuwaasa waache Tamaa...
Siku ya hedhi duniani huadhimishwa kila mwaka, siku ya tarehe 28 Mei ikiwa na lengo ya kuwakutanisha wadau mbalimbali kwa dhumuni la kuongeza uelewa kuhusu masula ya hedhi kwa msichana na kuhamaisha msichana kupata maji safi na taulo.
Hii hasa inawalenga wale walio katika mazingira ya hali ya...
Katibu Mkuu Wizara Ya Afya Prof. Abel Makubi Ametoa Wito Kwa Wananchi Kuachana Na Mila Na Desturi Potofu Kuhusu Hedhi Na Kusisitiza Juu Ya Upatikanaji Wa Huduma Na Vifaa Vya Kujihifadhi Hasa Taulo Za Kike Sehemu Zote Kwa Makundi Yote Kwa Bei Nafuu Katika Jamii.
Prof. Makubi Amesema Hayo Leo Mei...
Wataalam wa afya wametoa angalizo kwa wanawake wanaotumia dawa za kuzuia hedhi bila kuzingatia ushauri wa daktari kuwa wako hatarini kupata madhara, yakiwamo maradhi ya moyo.
Daktari wa Magonjwa ya Kinamama Hospitali ya Rufani Mkoa wa Njombe, Shomari Masenga ametaja dawa hizo kuwa zimegawanyika...
Habari za wakati huu wana JF!
Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma tukiangalia sanasana kwenye mazingira yetu ya kitanzania, na je tiba yake ni ipi?
Mwenye kufahamu...
Hedhi anakaa siku 3 hadi 4,
Mara nyingi kwenye siku anaingia kati ya tarehe 26, 27 na 28 kila mwezi.
Je, kwenye mzunguko huu hapana tatizo?,
je mzunguko huu ni wa siku ngapi?
Je, kwenye mzunguko huu siku zake za hatari ni zipi?
Habari za asubuhi wakuu?
Natumaini tu wazima wa afya, kwa wale wagonjwa polen!!
Neende moja kwa moja kwenye mada! Et wakuu mwanamke akiwa kwenye cku zake ( bleeding), anakuwa na hasira Sana adi kumchukia mmewe/ mpenziwe.
Mimi ni mwanamme nipo katika mahusiano miezi 6 saiz na dada fulan toka...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima.
Andiko hili litalenga zaidi uhusianishaji wa teknolojia katika kusaidia Maisha ya watoto wa kike katika kipindi chao cha HEDHI.
Katika Andiko hili tutazungumzia mambo makuu matatu...
Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie hapa. Kama kila baada ya mwezi mwanamama anapata tarehe tofauti za hedhi kiafya ni sawa?
Mfano mwezi huu anaingia tar 24 alafu mwezi ujao anaingia tar 20. Hii kiafya ya uzazi iko imekaaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.