Maana ya hedhi
Hedhi kilugha
Ni kitu kutiririka na kupita
Hedhi kisheria
Ni damu inayotoka kwenye uzao wa mwanamke katika muda maalumu bila yasababu
Namna ya damu ya hedhi ilivyo
Ni nyeusi kama kwamba imechomeka kwa weusi wake mwingi, yaumiza, ina harufu mbaya, mwanamke akiwa nayo huhisi joto...