Naomba kufahamu ni nini nachotakiwa kufanya ili kuweza kupost posts nzuri hapa.
Napenda kujiona kama mhamasishaji wa uongozi bora hasa kwenye ngazi za chini, nikimaanisha uongozi wa jumuia ndogo ndogo, uwakilishi wa nyumba kumi kumi nadhani hii ni kama mabalozi, uongozi wa mitaa, kata au...
Wakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume...
Poleni na Majukumu wana JF
Nilikuwa naomba kujua kutoka kwenu, kuna mdogo wangu amepata kazi kwenye kitengo cha “STOCK AUDIT & MANAGEMENT “ hivyo hajawahi kufanya hii kitu so nilikuwa naomba msaada kutoka kwenu je Stock audit na accountant wa ofis ni watu tofauti? na je stock audit na accountant...
Hello everyone 👋!!
Mnaendeleaje na hali ndugu zangu poleni kwa majukumu!
Naomba msaada tofauti kati ya MISDEMEANOR and GROSS MISDEMEANOR
(First year student at MZUMBE UNIVERSITY)
Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia.
-Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu
Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
casual
familia
hello
jumla
kali
karibu
karibuni
kuanzia
machimbo
mbili
mitumba
mtu
mtumba
nafuu
nauza
nguo
nguo za mtumba
nzuri
official
safi
unapata
warembo
Habari wakuu,
Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu.
Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
accounting
bachelor
chuo
chuo kikuu
dar
dar es salaam
degree
fursa jf
hello
kazi
kazi yoyote
kikuu
msaada
naomba
naombeni
natafuta
natafuta kazi
uhasibu
Habari zenu wana Jf?
Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana....
Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti..
Ahsanteni!!
Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
Hello wanajukwaa niwakaribishe kwetu utapata godoro aina zote pia furniture mbalimbali za kupendezesha nyumba/chumba chako
Tuna vitanda
Kabati
Sofa aina zote
Ð
Age:18 yrs old,
Salary atakayo ni 80k kuendelea. Awezacho ni kulea mtoto, watoto, wazazi wa watoto hao au kuuza duka.
Maelezo mengine ni inbox wapendwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.