hello za wekend wakuu,
Naomba msaada juu ya IDEA YOYOTE INAYOHUSIANA NA (WEB BASED SYSTEM) katika fani ya IT niifanyie kazi naelekea kukwama mwenzenu huku mana nilizonazo zote naambiwa hazina intelligency part ndan yake.
kwenu wakuu
Habari wana jamvi. Hello mr right ni kakipindi fulani kanako endeshwa pale kenya na RAMBO TV, kakizaminiwa na startimes.
Kipindi chao kina husisha single boys &single ladies. Nimeshindwa kuelewa maudhui ya ke, je nisuruhisho kwa madomo zege ama la? Mbona hakuna mresho wa wale wanao patana mr...
Utafiti mmoja wa kiafya duniani umeonyesha ongezeko la asilimia 82 la watu wanene kupita vifo vinavyotokana na kunenepa kupita kiasi ni mara tatu zaidi ya vifo vinavyosababishwa na kukosa chakula chenye lishe, ingawa bado nchi nyingi zinapambana na ukosefu wa chakula.
Majid Ezzati, ambaye ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.