Hemed Suleiman Abdulla (born 5 April 1973 in Kiwani, Pemba) is a Tanzanian CCM politician and 2nd Vice President of Zanzibar from 2020. He was nominated by the President Hussein Mwinyi to become a member of Zanzibar House of Representatives.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla akiwa na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba wameshiriki katika Semina elekezi kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu kuhusu umuhimu wa mawasiliano Serikalini, iliongozwa na Rais Samia iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiwani (CCM) Hemed Suleiman Abdulla amewaonya wanaomfuatafuata jimboni kwake kwenda kuwashawishi wananchi wake wakatae maendeleo ikiwemo magorofa.
Hemed ametoa onyo hilo wakati akizungumza na wananchi katika muendelezo wa mikutano yake ya kuomba kura kuomba katika...
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Kiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema ataendelea kusimamia kwa karibu maendeleo ya vijana wa jimbo hilo, hasa katika...
Hemed Suleiman Abdulla, akihutubia mkutano wa kampeni Septemba 24, 2025 katika eneo la Makombeni, Mkoani, amesema tofauti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vingine ni kwamba vyama hivyo havina cha kueleza walichokifanya kwa wananchi, na bahati mbaya havielezi pia nini vitakavyofanya...
Klabu ya Simba imemtangaza rasmi Hemed Suleiman, anayejulikana zaidi kama Morocco, kuwa Kocha wa muda (Caretaker) kwa mechi za Kimataifa. Uamuzi huu umefikiwa baada ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids, kusitisha mkataba wake, huku Kocha Selemani Matola akikosa nafasi kutokana na kadi nyekundu aliyopewa...