hersi

Hersi may refer to:

Youssouf Hersi, Dutch footballer
Mohamud Muse Hersi, Somali politician
Amina Moghe Hersi, Somali entrepreneur
Hersi Aman legendary 3rd Sultan of the Habr Yunis
Khalil Abdulkadir Farah Hersi (1946-2005), Somali poet
Hersi Matmuja, Albanian singer

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    Eng Hersi Said analitaka Jimbo la Kinondoni

    Eng Hersi amekuwa ambaye ndiyo Rais wa club ya Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa, amekuwa mahiri na kuonyesha uongoza thabiti na wenye weledi Akiwa Yanga amefanya mapinduzi makubwa na mafanikio kimataifa, Amefanya biashara ya mpira na kiuwezesha timu ya Yanga kuwa Moja ya timu kubwa...
  2. M

    Marehemu Hans Pope ametuachia pengo kubwa sana ndani ya Simba ndio maana akina Hersi wanatamba na wataendelea kutamba

    Siamini kama Yanga itaukosa ubingwa msimu huu, kuna mambo wenzetu wanashirikiana na mamlaka za soka bila sisi kukemea ama kuhoji, kwa mfano mechi ijayo ni Yanga vs Tabora kule Tabora lakini leo uwanja ule umepigwa stop wakat jana wamecheza na Dodoma Jiji. Hans Pope asingekubali ujinga huu, Hans...
  3. Waufukweni

    Aweso amuumbua Eng. Hersi mbele ya Rais Samia kwa kudai huwa anaenda Pangani Kuroga mechi za Watani wa Jadi (Simba na Yanga)

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amuumbua Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said kwa kudai kuwa huwa anaenda kuroga mechi ya Watani wa Jadi (Simba na Yanga) ili washinde "Pangani ilikuwa kama Kisiwa, ili mtu aje Pangani lazima aje kwa makusudio maalum, aje kuzika, amesikia labda kuna mganga mzuri wa...
  4. SAYVILLE

    TFF yampa onyo kali Rais wa Yanga Hersi Said

    TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili. Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
  5. GENTAMYCINE

    Kwahiyo ukaribu wa Mshindi Leonardo na Ommy Dimpoz, Injinia Hersi Said pamoja na GSM ndiyo Kigezo Kikuu cha Yeye Kushinda Tuzo leo Masaki?

    Nikiwa kama Mdau ninayejitegemea wa Uchekeshaji na Mtaalam pia Leonardo siyo Mchekeshaji bali ni Mbahatishaji tu!!!!
  6. GENTAMYCINE

    Aziz Ki kumuoa Hamisa: Mama yake mzazi amtolea Uvivu Rais wa Yanga SC Injinia Hersi kuacha kuwa na kimbelembele

    Mama wa Mshambuliaji wa Yanga Stephanie Aziz Ki "Sanata Ki" amemvaa rais wa Yanga Eng Hersi Said kwa kusimama kama mwakilishi wa familia kwenye maandalizi ya harusi ya mtoto wake bila yeye kushirikishwa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa "Hersi ngoja nikuambie kitu, wewe si mtu...
  7. S

    SOWAH: Kucheza Yanga ni jambo la muda tu!

    Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88 "Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi. Yanga ni nyumbani, hata...
  8. Smt016

    Hatimaye Eng. Hersi ameamua kuivua Yanga ubingwa wa ligi kuu

    Mpira una njia na taratibu zake, hakuna maajabu yanayoweza kutokea tena baada ya uongozi wa Yanga kurudia kosa kwa mara ya pili mfululizo. Timu ilifanyiwa mabadiliko ya benchi la ufundi kwa kuja Ramovic, timu ili struggle kwa mechi kadhaa ila ikaja kutulia baadae, bahati nzuri mechi za klabu...
  9. aka2030

    Sioni maendeleo ya Yanga tena chini ya Eng Hersi Said

    1.mwaka wa 3 wa uongozi mabadiliko ya katiba hayajakamilika mpaka sasa wawekezaji kwa hisa hawajawekeza 2. Hali na morali ya wachezaji ipo chini 3. Mauzo ya jezi yameporomoka 4.wachezaji wengi wanaidai club 5. Mawazo yake sasa yapo kwenye kugombea ubunge aje kuwa naibu waziri wa michezo...
  10. ngara23

    Eng Hersi usijaribu kumsajili Djibril Silla wa Azam

    Djibril Sillah amegoma kuongeza mkataba pale Chamazi Mkataba wake unakoma June, 2025 Inaelezwa kuwa Djibril Sillah yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga na uwezekano mkubwa akatua timu ya wananchi msimu ujao Rai yangu Kwa Eng Hersi na viongozi wengine wasijaribu kusajili hili garasa...
  11. M

    Pongezi kwa Eng. Hersi kwa kuchaguliwa mjumbe Kamati ya Mashindano CAF!

    Nakupa pongezi kwa sababu huwezi kufikia kumi bila kuanza na moja mwendo wako uko kwenye njia sahihi, na mwelekeo wako ni mzuri! Kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya CAF si jambo dogo; umefanya kazi kubwa na kufanikisha mengi. Nafasi hii inakupa nafasi ya moja kwa moja kushiriki...
  12. ngara23

    Ofisi ya Mwenyekiti wa vilabu Africa, Eng Hersi Sasa itakuwa Marakesh Morocco

    Morocco imechaguliwa kuwa Makao Makuu ya Chama kipya cha vilabu vya Afrika kinachoongozwa na Eng.Hersi Said. Baada ya mchakato wa ushindani wa zabuni uliohusisha Afrika Kusini, Morocco, na Algeria, Morocco iliibuka kuwa chaguo la pamoja wakati wa mkutano wa bodi ya ACA uliofanyika jana. Makao...
  13. GENTAMYCINE

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said jifunze Ustaarabu na una mengi ya Kujifunza kutoka kwa Viongozi wa Simba SC

    Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote...
  14. G

    Mangungu hoyeeeee! Eng. Hersi ziiiiiiiii!

    Ktk uwanja ule ule Simba anapata matokeo dhidi ya wababe wa wababe wa Yanga (MC Algiers). Hongera sana Mangungu Hersi Said ana cha kujifunza.
  15. M

    Injinia Hersi nakushauri ishi vizuri na wenzako ndani ya Yanga, vinginevyo wenye Yanga yao watakukwamisha sana, leo timu ilipigwa pini

    Yanga ni wapinzani wangu na siwapendi, nimefurahi sana kuondolewa leo maana tusingekaa mjini, maneno ya shombo ya zungu pori, maneno ya hovyo ya Ally Kamwe yangetuchoma sana sisi watu wa Simba. Eti wangeshinda leo wangekuwa nafasi ya 5, ujinga kabisa.Ila nnao uhakika kuwa Yanga wamepigana pini...
  16. Waufukweni

    Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe

    Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League. Yanga kwasasa anabuluza mkia kwenye kundi hilo akiwa na alama 1 na walianza vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo...
  17. M

    Engineer Hersi analeta utani, kweli Kibabage na Israel Mwenda ndio wakakabe mawinga wa Esperence wakiwa wanatafuta goli? Yanga tunatapeliwa na gsm

    Habari wadau Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana. Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana Engineer amebadilika kama zuwena Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda. Nawazaa...
  18. G

    Eng. Hersi anatumia Yanga kujijenga yeye na siyo kuijenga Yanga

    Katumia platform ya Yanga kujulikana CAF, kuongea na vilabu vikubwa vya Ulaya, kukutana na wachezaji wakubwa, n.k, lkn Yanga inazidi kudorora na kuporomoka. Yanga ni ya kushindwa kuvuka makundi kweli? Ndiyo! Yanga haitavuka makundi, kwasabb mchezo ujao atakuwa DR Congo kucheza na TP Mazembe...
  19. WAZO2010

    Rais wa Yanga achia ngazi

    Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga. Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo. Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu...
  20. MwananchiOG

    Man city wanapaswa kujifunza kutoka kwa Yanga, Waonane na Eng. Hersi kabla mambo hayajazidi kuharibika

    Kwa kawaida baada ya timu kupitia mafanikio makubwa mfululizo huwa kuna hali ya wachezaji kurelax na kucheza kwa mazoea wakiamini ubingwa unapatikana kirahisi, Ukiachana na suala la umri wa wachezaji ambao mara kadhaa hutumika kama kisingizio, Ila ukomavu kifikra na uzoefu wa mchezaji ni jambo...
Back
Top Bottom