Mimi sina mengi. Baada ya kuwa tumekosa kumtumia yule mganga sasa hali yetu imekuwa mbaya. Hata ile namna nyingine ambayo tuliamua kuwa ingetusaidia katika kupata ushindi matches hizi inakuwa ngumu sababu ni...
Turudie katika asili yetu. turudi kule ambako kulitusaidia tukawa Yanga ile. Tatizo...
Nimeona watu hawa wenye ushawishi mkubwa wametua Kongwa. Ni maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2025? Nani kati yao analitaka jimbo? Ni ziara ya kawaida au kimkakati?.
huu ni ujumbe wangu mimi mwanayanga halisi kwako wewe white haji manara :
mzungu pori umekuwa chanzo cha chuki na fitina kila mahali ulipopita kama mfanyakazi , unasifika kwa kufitinisha watu makazini na kutaka kuwa katikati ya kila kitu kinachokuzunguka.
umejawa sifa za kipumbavu na...
Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.
Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
Mzize hana umri unaotaka kuwaaminisha watu, sio young player, wengi tunamfahamu Mzize, muache akacheze soka huko anakoliliwa, Mzize maisha yake bado hayajakaa sawa na njia pekee kwake kutoboa ni kwenda Wydad akacheze, hapa Yanga wewe shs ngapi Injinia.
Halafu nikuambie tu washabiki wengi wa...
Akijibu swali la kizushi kutoka kwa Oscar Oscar Wasafi TV, kwamba👇👇
"Inasemekana ulipokuwa mtoto ulikuwa unaonekana kama una mapenzi na Simba.
Hata mlipokuwa mkicheza chandimu Simba na Yanga wewe ulikuwaga unachagua upande wa Simba, ila sasa hivi umekua Rais wa Yanga. Hebu tuambie hii...
Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga.
“Wafanyakazi wa Yanga wanaanzia Level...
Ukiwa na aibu kuna mambo fulani utajizuia kufanya mbele za watu hata kama unatamani sana na una haki ya kuyafanya.
Miaka hii miwili matatu tunaona wimbi la watu kutoka Simba kuelekea Yanga kwa kurubuniwa na Rais wao aliyekataliwa na mahakama Hersi Said. Imekuwa kama lile wimbi la "waunga mkono...
Hersi has experienced a lot of backlash recently, and the way I see it, he is facing trial after trial.
Magoma's issue started with Manara. The case was attributed to fans not wanting Manara anywhere near the Yanga campus. The case was not brought to light since Manara actually left.
The...
https://m.youtube.com/watch?v=1weIrkCNRgw
SuperSport presenter Thabiso Tema chats to Kaizer Chiefs Marketing and Commercial Director Jessica Motaung and Young Africans President Hersi A. Said ahead of the inaugural Toyota Cup between Kaizer Chiefs and Tanzania's Young Africans at the Toyota...
Simon Patrick: Mwanasheria wa Klabu ya Michezo ya Vijana wa Yanga na mkurugenzi wa kisheria wa Klabu ya Michezo ya Yanga, maisha yake yanga.
Kesi Ngumu
Simon Patrick amekabiliana na kesi zenye changamoto kubwa. Kutoka kwa migogoro ya mikataba hadi masuala ya nidhamu, amekutana na yote hayo...
Nakumbuka toka mwaka 1995 kuna huyu mzee Juma Magoma amekuwa na migogoro ndani ya club ya Yanga Afrika.
Huyu mzee Magoma anadai anaipinga katiba ambayo alikuwepo na kukubali ipitishwe, ila ameonekana anatengwa kwenye meza ya mfalme, wakati wa uongozi ndg George Mpondela aliwahi kuleta vurugu...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.
Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi...
Nimeipitia kwa haraka haraka ni kwamba waliofungua shauri (Juma na Mwipopo) walikuwa na hoja KUU 4 ambazo ni;
1. Mahakama iseme bodi ya wadhamini ya Yanga iliyopo madarakani kwa sasa ni batili sababu ipo kwa katiba ambayo sio sahihi.
2. Mahakama iseme kuwa shughuli zote ikiwemo za mihamala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.