hersi

Hersi may refer to:

Youssouf Hersi, Dutch footballer
Mohamud Muse Hersi, Somali politician
Amina Moghe Hersi, Somali entrepreneur
Hersi Aman legendary 3rd Sultan of the Habr Yunis
Khalil Abdulkadir Farah Hersi (1946-2005), Somali poet
Hersi Matmuja, Albanian singer

View More On Wikipedia.org
  1. technically

    Eng. Hersi Said acha kuwa na kiburi

    Mimi ni mwanachama wa Yanga mwenye kadi kabisa ya uwanachama. Watu wengi wanajiunga na kujiandikisha kama wanachama wa Yanga kwa sababu wanaona timu inavyopata matokeo. Timu kwa Sasa imekuwa popular kwa sababu ya kuongeza fan base kwa sababu ya matokeo.. Sasa eng anaona kama timu yeye ndiye...
  2. Komeo Lachuma

    Nimenawa Mikono kwa Suala la Chama. Hersi alikuwa sahihi

    Mjadala wa suala la ubora wa Chama. Umefungwa. Tujadili mambo mengine. Chama ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee sana. Nakumbuka mwenyekiti wetu Hersi alishasema Chama ni classic player ambaye hata Yanga tulipenda kuwa naye. Chama anakupa vitu vingi uwanjani. Yaani una enjoy kumtizama...
  3. GENTAMYCINE

    Rais wa Yanga Hersi na Msemaji Kamwe wana Yanga SC, tunauliza tukiwa Tunisia tusimame Kushangilia dakika ya ngapi?

    Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana Yanga SC Mwenzenu hili Swali langu. Cc: Ulimakafu
  4. GENTAMYCINE

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nchi uliyoitaja inaitwa 'Tunis' iko Bara gani Kijiografia?

    "Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo. Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata...
  5. Poker

    Eng. Hersi ajiuzulu nafasi yake ya urais kwa kututusi sisi wanayanga!

    Kitendo cha Rais wa klabu yetu pendwa ya Young Africans au yanga kutuita sisi mashabiki wake wala mihogo, ni kutudhalilisha, kutufedhehesha, kutudharau na kutuona hatuna maana. Inauma sana kwa kweli leo hii sisi ni wakuitwa wala mihogo ambao hatufai kuchangia chochote kisa tumekula mihogo. Na...
  6. technically

    Eng Hersi aambiwe ukweli Yanga kuna wachezaji mizigo

    Mchezaji Kama Bigirmana, Makambo na Kisinda sio wachezaji wa kucheza Yanga Naomba dirisha dogo Hawa wachezaji waondoke haraka ni takataka Lomalisa watu wanamponda lakini kwangu Mimi ndiye beki Bora namba 3 akiaminiwa na kupewa mechi Football ni namba mpaka sasa ana assist mbili ni beki gani...
  7. GENTAMYCINE

    Abubakar Salum haumwi, ila amegoma hadi amaliziwe chake chote

    Na kuna mgomo wa chini kwa chini juu ya kuchelewesha mishahara ya wachezaji wazawa ila wa kigeni wote mnawatimizia kwa wakati. Nibishieni hili ili nije na siri nyingine.
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Hersi anampangia kocha kikosi, kesho kunyamazishwa

    Taarifa za ndani ya Yanga nilizotaarifiwa ni kuwa Eng Hersi Said ndiye anayemlazimisha Nabi kumchezesha Feisal na Aziz Ki kwa pamoja, hataki kuona mmoja anaanzia Benchi. Hersi ndiye aliyemwambia Nabi kuwa Feisal na Aziz awatumie wote kwa pamoja atajua yeye atakavyowatumia lakini lazima waanze...
  9. Mr_Plan

    Kwako Eng. Hersi Said taarifa hii ikufikie kuhusu chawa wako

    Popote ulipo nakupa pole Rais wetu kwa mapambano unayopitia katika kutetea chapa ya Yanga. Kufeli kwetu katika mambo mbalimbali yaihusishayo klabu yetu tatizo kubwa ni hawa machawa wako wanaokuzunguka, mdomo mwingi, sifa kibao utendaji sifuri. Hao wamekuwa wakiangalia matumbo yao tu na...
  10. aka2030

    Tatizo namba moja Yanga ni Eng. Hersi Said

    Huyu jamaa ndiyo tatizo kubwa Yanga, pamoja na ndiyo kuwa sababu ya GSM kuweka Yanga ila jamaa hafai. Kila kitu anajua na anataka afanye yeye! Hawezi usiri kwenye mambo ya Yanga, mbaya zaidi anaingilia kila majukumu na tamaa yake ya kuonekana kwenye TV kila siku. Rais anaonekana kwenye TV zaidi...
  11. Chizi Maarifa

    Hersi hizo pesa ambazo unatumia kuwasaidia waandishi wa Habari si tungewekeza kwa Wachezaji wetu?

    Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza. Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka...
  12. N

    Wana Yanga wachukizwa na kauli ya Hersi kuhusu TFF

    Siku zote tunawaambia wanayanga kwamba Hajj Manara ndiye mwenye uchungu na team hiyo anayoipigania kwa moyo mmoja bila kujali maslahi ya pesa Kitendo cha kuweza kuvitoa virusi sugu viitwavyo Nugaz na Bumbuli hapo klabuni vimemuongezea credit sana kwa wanazi wa yanga, jinsi alivyompa makavu...
  13. GENTAMYCINE

    Naona taratibu sasa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anaanza Kuwafanya wana Yanga SC wote ni Mazuzu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni Nane ( 8 ) kwa Mwaka na Mazuzu kama Kawaida yao Wakamshangilia na Kushangilia. Jana tu Rais wa Yanga...
  14. N

    Tujikumbushe: Weledi wa Barbara kupinga ubaguzi wa Manara dhidi ya uwezo duni wa Engineer Hersi kiuweledi

    Hakuna mtu anayestuka na ujinga wa sope takadini ni kama toto dogo linalochezea matope lakini wengi wamestuka sana kuona ujinga wa kitoto unaofanywa na Hersi na Arafat, vijana wanodaiwa kuwa ni wasomi (may be walifoji vyeti, who knows) waliyoyafanya Jumamosi ni kituko sana wao wanajiona wajanja...
  15. GENTAMYCINE

    Baada ya Rais Hersi na Mhamasishaji Manara kuwa na 'Hatiani' huu ndiyo Uwezo wa mwisho wa Kufikiri wa Mashabiki na Wanachama Wao

    "Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC. Yaani Viongozi wa TFF waache kuwa busy na Ugeni wa CAF na Mkutano Mkuu utakaofanyika Arusha waje...
  16. N

    Hersi usiende kwenye Kamati ya Maadili hawatakugusa, Nchi haitakalika

    Engineeer wala usiogope hata kidogo, hawana la kukufanya ndugu yangu we endelea na shughuli zako hata siku wakikuita kaa nyumbani kwako angalia movies Hawana la kukufanya maana nchi itawaka moto nakuapia labda itabidi jeshi liingilie kati, yaani mmewapa mtego nao wakajaa HERSI, ARAFAT, SIMON...
  17. Shark

    TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

    Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
  18. Action and Reaction

    Ishu ya Manara, Injinia Hersi Said umeyataka mwenyewe ipo siku yatakufika!

    Kwa mwelekeo ulivyo na akili ya Manara ya kunyea kambi kawanyea mpaka tff.... bado kwako yatakukuta muda utaongea. Akili ya Manara ni ya hovyo tena ya kishetani na mpaka hapa mtaungana namie! 1) Kamtukana Mo Dewji na kusema anamwonea wivu kwa umaarufu wake. 2) Kagombana na Babra na kumtolea...
  19. N

    Aibu kuu: Uongozi wa Hersi/Arafat ni lainilaini sana, mnakosea

    Hii siyo yanga ninayoijua, kuwa upande wa mwenye mapesa siyo kigezo cha kuweza uongozi, yanga ni ngangari tangu enzi hizo siyo watu wa mchezomchezo muulize Iman madega na wenzake waliowahi kuvamiwa nyumbani kwao, watu shakula bakora sanaa pale jangwani Sasa jana afisa mkubwa wa klabu...
  20. M

    Injinia Hersi Said tunataka kuona 'Walk the Talk' yako katika Kuiendeleza Yanga SC yako na siyo 'Talk the Walk' tulioizoea mkiomba Kura

    Uko vizuri sana kwenye Kuzungumza, Kujisifia Kwingi na kuegemea zaidi katika 'Engineering Theories' zako ila sina uhakika kama utaweza hata kufanya 25% ya Uliyojimwambafai nayo katika Interview yako na Sports Extra ya Clouds FM jana Usiku. Kitu pekee ambacho Injinia Hersi Said umekisahau ni...
Back
Top Bottom