Bila shaka tunaweza kuwa mashahidi wa jinsi somo la HISABATI lina umuhimu katika Ulimwengu wa sasa,
Utakubaliana nami kuwa Hisabati ndio nguzo muhimu katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia Duniani.
Sasa tuje katika mfumo wetu wa elimu,,matokeo ya darasa la 7, kidato cha 2, na kidato cha nne...