Salaam
Ndugu wajenzi wa Taifa napanda kuwasalimia kwa maamkizi mema ya Jamhuri ya muungano kwani ndiyo kitu chenye kutuunganisha kama marafiki,theni napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa jamii foroum kwa hekima ya maarifa na busara tunayopata kwenye jukwaa.
Straight to the point,maisha siyo...
Naomba kujua kama hesabu ya siku ya dereva wa daladala has Dar, inatakiwa ipande kwa kiasi gani ?
Kwa sababu vipuri vimepanda bei sana .
Nina daladala 3 zinatoka buza hadi mnazi mmoja na kwa siku nakusanya 75000 kwa kila daladala, Niongeze kiasi gani kwa haya mabadiriko ya nauli yalitangazwa .
JE HOFU YA MITIHANI NA MADAI YA UGUMU WA SOMO LA HISABATI NDIYO SABABU YA KUFELI KWA NUSU YA WATAHINIWA MWAKA HUU? Somo la Hisabati limeendelea kuwa pasua kichwa nchini, ambapo katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu, zaidi ya nusu ya watahiniwa wamepata ufaulu D ambao hauridhishi...
Hello,
Tunatoa mafunzo ya computer kwa walimu wa hesabu ili kuwezesha kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
Jinsi ya kutumia digital tools kuandaa graphs, diagrams na kupata step by step solution using AI tools.
Mawasiliano : 0689917513
Suala la kuwa Mzazi linakuja na mambo mengi sana, ikiwemo kuwajibika kwa Watoto, Kuwasaidia Kazi za Shule na kila kitu, sasa kwa unavyoona Mahusiano yenu hapo, nani atakuwa msaidizi wa Home Work za Hesabu kwa Watoto/Mtoto wenu?
Au wote mtakuwa mnakimbia na kuwambia Watoto wamalizane kila kitu...
Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Ukaguzi wa Umma 2023, hatua inayolenga kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu.
Rais William Ruto alitoa tangazo hili wakati wa hotuba yake katika tukio la Siku ya Kodi ya Mamlaka ya Mapato ya Kenya, akifichua...
1998 Yanga group stage CafCl
2003 Simba group stage CafCl
2016 Yanga group stage CafCC
2018 Yanga group stage CafCC
Misimu ya korona
2019 Simba group stage CafCl
2021 Simba group stage CafCl
2021/22 Simba group stage CafCC
2022/23 Yanga group stage CafCC
2022/23 Simba group stage CafCl...
"Ripoti kutoka Afisi ya Msimamizi wa Bajeti inaonyesha taswira yenye kiza kutokana na takwimu zinaonesha kuwa asilimia 83 kubwa ya mapato yote yaliyokusanywa na serikali yametumika kwa malipo ya deni.
Msimamizi wa Bajeti, Bi. Margaret Nyakango, ambaye alijitokeza mbele ya Kamati ya Bajeti na...
Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili.
Kwanza, Kila chama kinatakiwa kihakikishe kina wanachama wafia chama ambao watakuwa pamoja na...
Asalaam Aleykum.
Bila shaka wote mko vizuri na mnaendelea na kazi za ujenzi wa Taifa letu.
Leo ninao wosia kwa viongozi wa nchi yetu kuwa makini na raia wao, maana ni ukweli usiopingika kwamba Watanzania wengi ni wanafiki. Mnafiki ni mtu anayejifanya vile asivyo. Kwa maneno mengine, mnafiki ni...
WAKRISTO HAWAHITAJI SENSA KUJUA IDADI YAO. KWA SABABU UKRISTO WENYEWE NI HESABU.
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Moja ya mafundisho makuu katika Ukristo ni fundisho la Hesabu. Ukristo hauwezi kukamilika bila hesabu Kwa sababu hesabu ni sehemu ya Ukristo.
Jukumu kuu la Ukristo Duniani ni...
Hawa jamaa wanakuwaga na shida mbalimbali katika safari zao wakipatwa na shida.
Unakuta mzee msaada hapa gari imepata tatizo nisaidie kunitumia hela mimi bosi wa gari akinitumia nitakutumia na shida ninunue spea kufnge chapu niendelee na safari.
Baada ya kutuma mzee asante sana nimepata...
Can all the laws of physics be expressed as a set of mathematical equations?
Yes,
Mambo ya kufikirika :D :D :D :D :D :D :D :D :D
Albert Einstein giving a lecture on relativity at a historically black university in 1946. His peers scrutinized him for it and the press ignored it...
Wadau nimefanya utafiti mdogo Kwa nini walimu wa kiume wanaofundisha masomo ya sayansi hasa hesabu ni wachafu kimuonekano ukilinganisha na masomo ya Sanaa?
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)
👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)
Profesa Assad ametoa...
Siku tatu kabla ya kilele cha Simba Day tiketi zote 60,000 zinazojaza Uwanja wa Benjamin Mkapa zilikuwa zimeuzwa (Sold Out).
Hii ni mara ya kwanza kwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kujaa siku tatu kabla ya tukio na Simba ndio imeweka historia.
Tiketi za Platnum ziliisha siku moja baada ya kutangazwa...
Wanafunzi wa Kidato cha sita Shule ya Sekondari Chamwino wamempa FURAHA YA KUSHTUKIZA mwalimu wao wa HESABU/ADVANCED MATHEMATICS, MR. EMANUEL GEORGE KIPAHO kwa kumnunulia usafiri wa Baiskeli kwa kutambua mchango wake na juhudi zake anazozitoa kufundisha darasani na muda wake wa Ziada.
Shule hii...
Anayeelewa hili fumbo.
Mimba hadi kuzaliwa miezi ni Tisa.
Ila birthday yako ni kila baada ya miezi kumi na mbili.
SWALI
Sasa pale kwenye tisa ya tumboni na huku kumi na mbili mbona kama tunaiba miezi mitatu isiyo husika katika umri wetu au nyie mnaonaje ?
Hakuna shaka kuwa Mayele ana malengo yake na Yanga wana malengo Yao. Pale kwenye makutano kati ya Faida kwa mayelle kucheza Yanga na Faida ya Yanga kuwa na Mayelle ndizo hesabu za kweli.
Je, vyanzo vya mapato vya Yanga (viingilio vya mlangoni, matangazo, udhamini, mauzo ya gesi na zawadi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.