hesbollah

  1. The branding

    Kwanini vita ya Hesbollah vs Israel vimekuwa virahisi kuliko ilivyo dhaniwa?

    Nikiangalia vyanzo mbali mbali vya milengo yote nimegundua kuwa, Israel hana presha kama ile aliyo kuwa nayo gaza. Nimegundua sababu zifuatazo: 1. Pre-emptive strike iliyopelekea kumuua Nasrallah iliwavunja moyo(nitampiga mchungaji na kondoo watatawnyika) 2. Uzoefu walio upata gaza. Ikumbukwe...
  2. The branding

    Hesbollah hii ndo ile tulio hadithiwa ama tutarajie nyingine?

    Vilisikika vitisho vingi sana mara ooh, Hesbollah sio gaza, mara ooh kumbuka 2006, n. K. Tulivyokwenda kwenye uhalisia kumbe hesbollah ni wachumba tuu, na ni mara 100 Hamas. Hao jamaa yahudi anajipigia mpaka kuna muda unawaonea huruma wanaume wazima na vilemba na midevu wakikaa mashimoni kama...
  3. HIMARS

    Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

    Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana. Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake. Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah...
Back
Top Bottom