Mhe Rais,
Kwanza nikupongeze kwa nia yako ya dhati ya kupambania maslahi ya nchi na watu wake. Umeonyesha utu, ari, na malengo ya dhati ya kuhakikisha mambo yanaenda na kutekelezeka kwa wakati, ninakupongeza.
Mhe Rais,
Katika mikutano yako kadhaa na waandishi wa habari, umekuwa ukionyesha...