heshima ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Heshima ya nchi imeporomoka kisa kulinda maslahi ya mgombea mmoja na CCM

    Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikiheshimika kama msuluhishi wa vita mbalimbali na alama ya ukombozi na uhuru katika ukanda huu wa maziwa makuu na hata Afrika kiujumla. Tanzania ilipeleka wanajeshi wake huko Congo DRC kusaidia mgogoro baina ya Congo DRC na Rwanda, ila cha kushangaza Rais wa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Hatutapokea michango inayopoteza Heshima ya Nchi yetu na kudhalilisha Utu wa Watanzania

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, hapa wakati anaongea na Wanahabari mchana wa Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, kuhusu mkakati wa kudhibiti pesa za Raia wa Kigeni amesema; "Kwanza ni jambo muhimu...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Wizi na ulaghai kwenye uchaguzi utabomoa jina na heshima ya nchi

    Tunaikaribia Nigeria. Mambo haya yanaathiri utambulisho wa taifa letu. Baadhi yetu tumefaidi matunda ya jina zuri la taifa letu ndani na nje ya mipaka. Jina hilo lilijengwa kwa gharama kubwa na waasisi wa taifa letu. Popote ulipojitambulisha ni Mtanzania, watu waliinama kwa heshima kubwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa rudisheni heshima ya nchi

    Niwanasiasa pekee wanao weza kuturudishia Tanzania tuliyopewa na Mungu Tanzania isiyokuwa na ukabila Tanzania inayoheshimu Maharaja Tanzania inayothamini haki za kuishi Mwisho Tanzania inayozingatia siasa Bora elimu Bora na haki za kuishi
  5. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

    Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana! Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima ya nchi naona Al Ahly imekubali OMBI

    Tanzania kukubali kuwa mwenyeji katika ufunguzi wa mashindano haya ya Caf ni heshima kubwa sana. Hivyo haiwezekani uongozi wa Caf ukubali Simba ifungwe game hii ya ufunguzi. Hivyo itakuwa tayari mkakati wa kuiomba Al Ahly umeshafanyika kukubali kuachia . Simba leo tule raha zetu mwanzo...
  7. CHIBA One

    JamiiForums Tanzania Rais linda heshima na imani ya wananchi kwako fukuza hao tamaa mbele tafadhari

    Mhe Rais, Kwanza nikupongeze kwa nia yako ya dhati ya kupambania maslahi ya nchi na watu wake. Umeonyesha utu, ari, na malengo ya dhati ya kuhakikisha mambo yanaenda na kutekelezeka kwa wakati, ninakupongeza. Mhe Rais, Katika mikutano yako kadhaa na waandishi wa habari, umekuwa ukionyesha...
Back
Top Bottom