Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, hapa wakati anaongea na Wanahabari mchana wa Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, kuhusu mkakati wa kudhibiti pesa za Raia wa Kigeni amesema;
"Kwanza ni jambo muhimu sana kwasababu mkichangiwa na Mtu wa Nje mwenye nia mbaya inaweza ikatuletea shida, lakini tutakapokuwa tukiipokea michango tutaianisha kujua hii inatoka wapi?, ile ambayo inadhalilisha heshima! Au inapoteza Uhuru wa Taifa letu hatuwezi kuipokea. Niwahakikishieni hatuwezi kupokea michango inayopoteza Heshima ya Nchi yetu na kudhalilisha Utu wa Watanzania."
Zaidi soma hapa