Heshima ya nchi imeporomoka kisa kulinda maslahi ya mgombea mmoja na CCM

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikiheshimika kama msuluhishi wa vita mbalimbali na alama ya ukombozi na uhuru katika ukanda huu wa maziwa makuu na hata Afrika kiujumla. Tanzania ilipeleka wanajeshi wake huko Congo DRC kusaidia mgogoro baina ya Congo DRC na Rwanda, ila cha kushangaza Rais wa marekani Donald J Trump amempa heshima Rais Ruto kama msuluhishi na kuitupilia mbali Tanzania.

Kwa sasa huko ulimwenguni taswira ya Tanzania si ile ya hapo awali. Lakini tujiulize yote haya kisa nini? Tanzania imejinasibu kuwa nchi ya kidemokrasia, cha kushangaza CCM wanaamini wao ndiyo wana hatimiliki ya Serikali ya nchi hii, wanasahau wenye nchi ni watanzania wenyewe, kufikia hatua kumwaga damu za wasio na hatia na kuharibu image ya nchi ili tu kuhakikisha wanasalia madarakani.

Kwa maana nyingine walipangishwa nyumba, wakaishi kwa miaka zaidi ya 60 wakajisahau wakaona wao ndiyo wamiliki wa nyumba, Siku alipokuja mwenye nyumba kumtaka aondoke,Mpangaji analeta vurugu hata kujivua heshima na staha mbele ya majirani ilimradi tu asiondoke.

TAFAKARI, CHUKUA HATUA.

TUKUTANE D9
 
Hakuna cha bure wanamlinda kwa maslahi ya kueleweka
 
WHO ARE YOU???
 
Sasa hivi tumewekwa kundi moja na Congo, Somalia na Sudan. CCM ndio wameharibu hii nchi
Kwa nini tunasugar coat. Sio CCM yote. Ni mtu mmoja tu pengine na kikundi cha watu wawili watatu.
 
Sahivi anajificha ndani kama kicheche, hivi kweli Burundi ni wakutupa ushauri kuhusu amani
 
Back
Top Bottom