Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..
Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya...
IBRAHIM BABA WA IMANI ALIMWAMBIA ISHMAEL MWANAYE AMFUKUZE MKEWE KWA SABABU HANA HESHIMA NA ADABU. ISHMAEL AKAMTII BABAAKE AKAMFUKUZA MKEWE.
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Ukitaka ndoa na familia yako íwe Stable hata nyakati ñgumu na watoto wako wawe na nidhamu na wafaníkiwe basi Nakushauri...
TLS ni body corporate, ina common seal, ni chama chenye historia kubwa katika nchi, ndio maana serikali imeingiza mipango yake kwenye TLS, sheria za nchi hii haziwezi kwenda bila kushirikishq TLS, ndio ukitaka kuchukua hatua za kinidhamu kwa mawakili, TLS wapo kama wajumbe, ukitaka kupata...
HESHIMA INAVIWANGO. USITAKE HESHIMA ILIYOKUZIDI WENGI HUTESEKA
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Heshima ina viwango vyake.
Mwingine ana 100, mwingine ana 90, mwingine 60 mwingine 30 na mwingine ni 10.
Lakini yapo mambo ambayo yatamfanya mtu aheshimiwe.
Mambo haya ni kama ifuatavyo;
1. Utu...
Wa kwanza niteue mimi, nimeanza kushabikia, kushangilia na kuwa member wa Simba tangu mwaka 1989.Simba inamfunga Yanga bao 2 kwa 1 kwa bao la marehemu John Makelele zigzag huku beki Fred Felix Minziro Majeshi Baba Kataraia akimzaba makofi niko uwanjani, Simba anakosa ubingwa vs Stella niko...
Katika hali isiyo ya kawaida na isiyo ya kikatiba Mwenyekiti wa Simba upande wa Mwekezaji anajiuzulu na kumteua Rais wa heshima wa Simba Mo kuwa Mwenyekiti upande wa Mwekezaji!
Hii kitu hakijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia na hivyo ajabu lingine la dunia!
Ina maana kumbe Mo ni Mwekezaji...
Ulipoongea suala la nchi kupigwa mnada, kuuzwa vipande yawezekana nilikudharau, nilikukejeli, nilikutukana, nilikuona huyu ni masalia ya Jeshi la mtu mmoja JJPM.
Siku unadharaulika mbele ya kamera za waandishi nilichekelea sana na kusema ndiyo dawa yenu watu wa kariba yako wasiompenda mama...
Mwanamuziki wa hip hop Fat Joe ametunukiwa PhD ya heshima na Chuo cha Lehman kilichopo nchini Marekani. Fat Joe ameshukuru sana kwa kupewa heshima hiyo na kusema haikuwa rahisi kufika alipo kutokana na mazingira magumu aliyokulia...
Washington : Rais wa Marekani Joe Biden amemkaribisha mwenzake wa Kenya William Ruto katika ikulu ya White House kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kuipa nchi hiyo ya Afrika Mashariki hadhi ya mshirika mkuu wa Marekani ambaye sio mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO.
Chanzo: DW...
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.
NAFASI YA PILI KWA SIMBA...
Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao nawakubali hasa Kiutendaji wao basi wale wa Tabora, Kigoma, Arusha, Rukwa, Morogoro, Lindi na Kwetu...
1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu.
2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku.
3. Unapo ongea na mtu rafiki au mpenzi Onyesha nia ya dhati usiongee tu kwa kumfurahisha, kuwa mkweli.
4. Unapokuwa sehemu...
Habari za wakati huu waungwana, ni matumaini yangu nyote ni watu wazima na wenye uzoefu na haya maisha.
Naomba kufahamu tofauti iliyopo katika mambo hayo mawili muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi.
Kinachotakiwa sasa hivi ni kila nchi iruhusiwe kumiliki silaha za nuclear kwa ajili ya ulinzi na hii inaeweza kueleweka vyema...
Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani.
Yawezekana yule binti ni dhehebu tofauti na hajui utaratibu wa ibada wa madhehebu mengine au hata kuuliza tu japo...
Kwanza nakupa pongezi kwa kuendelea kudumisha amani katika nchi yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Kifupi kutokana na upole wako katika kuongoza nchi, wahuni wana take advantage ya kukutukana kama alivyoripoti Rc wa Arusha ndugu Paul Makonda.
Ukita kuangalia mawaziri wanaotuhumiwa...
Hii italinda heshima ya soka bora walilonao.Italinda heshima ya timu na wachezaji kwa ujumla.Viongozi wao wakae chini wafikirie mara mbili.
Timu yao ni kubwa sana ni bora wajitoe kulinda sifa waliyonayo pamoja na wachezaji wao wakubwa wa dunia walionao.Wasiangalie njaa ya leo wakajivunjia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.