Ulipoongea suala la nchi kupigwa mnada, kuuzwa vipande yawezekana nilikudharau, nilikukejeli, nilikutukana, nilikuona huyu ni masalia ya Jeshi la mtu mmoja JJPM.
Siku unadharaulika mbele ya kamera za waandishi nilichekelea sana na kusema ndiyo dawa yenu watu wa kariba yako wasiompenda mama...