Pamoja na nafasi kutangazwa na kutolewa majina yaliyokamilika kwa nafasi za ualimu, Nasikitika kuwa katika nasi ambazo zilionyeshwa kuwa kuna nafasi na watapangiwa watu katika nafasi hizo.
Kumbe zilikuwa hewa na TAMISEMI walijua hawawapangii watu kabisa katika nafasi hizo. La kujiuliza, kama...
Nimeona article mitandanoni ikisifia namna kunywa chai ya maajani ta mgomba ilivyo na manufaa ki afya
FUATILIA HAPA
Plantain Leaf: Improves upper respiratory tract, heart health.
Josephine Nettey - 16h ago
By Prof. Raphael Nyarkotey Obu
Plantain Leaf Tea improves blood...
Hata kama wahenga walisema ukitaka uzuri sharti udhurike lkn siyo kwa kuvaa mipira hii ya kukuza na kuonesha makalio. Ni hatari sana.
Maumbile ya kike yanahitaji sana hewa. Ndiyo maana kwa enzi na enzi mwanamke amekuwa akivaa mavazi yenye kuruhusu hewa kufika kwa wingi kwenye sehemu zake za...
Hii mikopo tunayobugia kwa pupa hivi tutakuja kuilipa kupitia puani. Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF
Muda wa kulipa ukifika, tunaweza hata kuambiwa tulipie hii hewa tunayovuta, maana ni rasilimali ya serikali na tulipe kama tunavyolipa kodi ya ardhi. Unapimwa uzito wako kisha...
Nimekumbuka namna hayati JPM alivyoanza kupambana na mishahara hewa mara tu baada ya kuapisha baraza lake la kwanza la mawaziri. Ikawa ni vita iliyochukua sehemu kubwa ya awamu yake.
Mishahara hewa, kodi hewa, malipo ya ustaafu hewa. Alikuwa akirudia sana katika hotuba yake namna nchi hii...
Nimekuja jana ila leo hali inatisha sana. Yaani kuna baridi kiasi cha kwamba unatamani usitoke room katika hotel niliyofikia.
Wenyeji huwa mnakabiliana na hali hii kwa mbinu zipi wazee?
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida bwana Johannes aliipigiwa cm na rafiki yake wa kike aje kujumuika katika sherehe yake.
Lakini alipofika alikuta ni sherehe ya wadada watatu tuu ambapo yeye ndiye alikuwa mwanaume pekee, watatu hao walimlazimisha kuanza kula vyakula ambavyo vimepambwa katika...
Utafiti mpya uliotolewa jana umeonyesha kuwa, mchakato wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani una kasi zaidi kuliko ulivyotarajiwa na hatua za haraka zinahitajika ili kupunguza uharibifu.
Kwenye utafiti huo uliotolewa na jarida la Nature Claimate Change, watafiti kutoka taasisi ya sayansi ya...
Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki mbili zilizopita, haswa katika Gauteng, Western Cape na KwaZulu-Natal.
-
Ameeleza kuwa nchi ilirekodi...
Idara ya Hali ya Hewa ya India (IMD) imetabiri kupanda taratibu kwa viwango vya juu vya joto kwa Centigredi 2-4 katika maeneo mengi ya kaskazini-magharibi na katikati mwa India kwa juma hili, bila kutarajia mabadiliko makubwa hapo baadae
-
Inaelezwa kuwa mawimbi ya joto ni ya kawaida nchini...
Wadau wa JF, Hamjamboni nyote...
Nawaletea orodha ya vituo vya daladala vyenye changamoto ya kuwa na joto kali na hii ni kwa mujibu wa utafiti mdogo uliofanyika.
Ieleweke kuwa joto lililopo vituoni hapo linaweza tokana na location ya eneo husika kijiographia n.k
Tazama orodha:
1. Makumbusho...
Katika hali ya kustaabisha rais wa Marekani bwana Joe Biden ameonekana akimpatia mkono mtu asiyeonekana punde tu baada ya kumaliza kutoa hotuba yake.
Inadaiwa hiyo sio mara yake ya kwanza kufanya tukio hilo mbele ya kamera.Hata hivyo tukio hili halijawashangaza sana watu kwani rais huyo wa...
Moja kwa Moja kwenye mada!
Ukiskiliza Tabiri za Hali ya Hewa kwenye Vyombo vingi vya Habari ni kawaida kuskia sentensi kama hizi "......Maeneo ya Pwani..... Maeneo ya kati ya Nchi pamoja na Kusini kwa Mkoa wa Morogoro.... kutakuwa na Mvua za Hapa na Pale..... kutakuwa na Mvua Kiasi.... na...
Nimepigiwa simu na Baba Mzazi kutoka huko Moshi Kilimanjaro na kunieleza ya kwamba kuna hatari kubwa ya kuwepo kwa anwani hewa zitakazotokana na zoezi hili la urasimishaji wa anwani za makazi kama ifuatavyo:-
Kwamba, wahusika wanasajili makazi kwa maana ya "nyumba" ambapo Msingi unatafsiriwa...
Ili jamii iweze kuendela inahitaji mambo mengi sana ikiwamo mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Katika kuhakikisha mipango ya mabo mbalimbali inatokea katika uhalisia viongozi wamekuwa wakitoa ahadi lukuki katika kufanikisha mipango ya maendeloeo na kutatua kero za wanachi wa jamii husika pale...
Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
Wanaukumbi.
Chadema mnajitapa mna wanachama active 12 milioni. Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ kwa wiki mnaomba 1K kwa kichwa nayo tia maji, tia maji. Hao wanachama 12m ni wafu au ‘Ghosts’? Kama katika 12m mnashindwa kupata 1K kwa mtu kwa siku 7?
Chadema...
Amini usiamini hawa jamaa wanadai ni kampuni iliyoko serious na ilikuwa inataka kufanya kazi na simba ili biashara yao itangazwe..anyway sishangai sana maana wao hata kuikongoroa logo ya NBC hawakuona shida wanenda kisela mno, vuluvululu.
Embu soma upuuzi huu ulioandikwa na mpambe/afisa wa...
EWURA MAKAO MAKUU DODOMA WANATANGAZA. KAZI NA HAWAITO WATU KWENYE INTERVIEW MATOKEO YAKE WANAAJIRI KINYEMELA.
Mfano ajira hii tangu itangazwe hadi leo Hakuna kinachoendelea ila unaweza Kukuta Nafasi hii ilishajazwa huku watanzania Salisbury kuitwa kwenye Interview. January Makamba upo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.