Wadau hamjamboni nyote?
Magaidi ya Hezbollah wamecharuka na kufanya shambulizi la nguvu huko Israel
Mayahudi hawaamini kilichotokewa
Jumuiya za kimataifa tunaomba kuingilia kati kuokoa uhai watu wasio na hatia
Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki Israel.
Soma Pia: Hezbollah...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha. Waziri Mkuu Benjamin Netanyau atembelea mpaka wa Israel na Lebanon
Asema ulimwengu wote umevutiwa na kushangazwa na uwezo mkubwa ulionyeshwa na IDF katika kuwashughulikia magaidi.
Soma Pia: Jeshi la Israel IDF laanzisha mashambuluzi ya nguvu nchini Lebanon...
Bado nakataa kuamini. Sitaki kabisa kuamini. Hivi ni kweli? Ama naota? inakuaje kuaje?haiingii akilini? Nadhani sasa Khayatollah ajishike vizuri. Hawa jamaa si watu wazuri.
Akae kwa kutulia sana. Sisi tuliwategemea sana Hezbollah. Sasa tunashindwa kuelewa. Nini kinaendelea huko. Maana tulisema...
Picha: hawa ndo Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah
Hawa ndo magaidi na wanamgambo walioangamizwa na Hezbollah leo
Captain Eitan Itzhak Oster, Captain Harel Etinger, Captain Itai Ariel Giat, Sergeant First Class Noam Barzilay, Sergeant First Class Or Mantzur...
Siku moja baada ya Israel kumuua kiongozi wa Hizbullah, Hassan Nasrallah jeshi la nchi hiyo limekuja juu na kutoa matamko ya kuwahamasisha raia kujiandaa kwa vita na Israel.
Katika tamko lake hilo jeshi limewataka wananchi kuhifadhi vyakula na matumizi ya lazima na kuwa wamoja kuliko muda...
Huwa naamini smarphone ni kama bomu tu, hao wazungu wanaweza kutrigger hiyo lithium battery na kukulipua muda wowote kama wanashida na wewe. Hata Hesbullah walijua hilo wakabuni kutumia simu za kizamani Pagers. Ingawa ni za kizamani lakini marekani kuna watu zaidi ya Millioni 2 wanazitumia. Hasa...
ISRAEL ASSASSINATES ANOTHER IRAN OFFICIAL, THEN COMMENCES "PRE-EMPTIVE ATTACKS" AGAINST HEZBOLLAH IN LEBANON
August 24, 2024
Israel has assassinated the head of Iran's KHASH (Intelligence) Agency, in front of his home in Iran, and then commenced "pre-emptive" attacks against Hezbollah in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.