hezbollah vs israel

  1. U

    Hezbollah yafanya shambulizi kubwa Jiji la bandari la haifa Israel kwa kurusha maroketi 90, yasababisha uharibifu mkubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Magaidi ya Hezbollah wamecharuka na kufanya shambulizi la nguvu huko Israel Mayahudi hawaamini kilichotokewa Jumuiya za kimataifa tunaomba kuingilia kati kuokoa uhai watu wasio na hatia Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki Israel. Soma Pia: Hezbollah...
  2. kimsboy

    Kwa mara ya kwanza Hezbollah watumia kombora zito la Fateh 110

    [emoji298]️BREAKING For the first time during this war Hezbollah has used precision Fateh-110 ballistic missile against a target in Tel Aviv Kombora limeshambulia hadi uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuleta uharibifu mkubwa na kuna ndege moja ya Boeing ilipata madhara Si tuliambiwa...
  3. kimsboy

    Picha: Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah

    Picha: hawa ndo Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah Hawa ndo magaidi na wanamgambo walioangamizwa na Hezbollah leo Captain Eitan Itzhak Oster, Captain Harel Etinger, Captain Itai Ariel Giat, Sergeant First Class Noam Barzilay, Sergeant First Class Or Mantzur...
  4. U

    Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

    Wadau hamjamboni nyote? Hezbollah imeanza kuishambulia vikali Israel kama walivyoahidi Ili kulipa kisasi dhidi ya mauaji ya makamanda wao wawili Ismail haniyeh na shukru Hadi muda huu bado hali ni tete nchini Israel kufuatia shambulizi hilo la nguvu kutokea angani na ardhini We will keep you...
  5. U

    Hezbollah yawahamisha haraka maofisa wake waandamizi kutokea kambi yao kuu kusini mwa Lebanon, wahofia kipigo cha ISR

    Wadau hamjamboni nyote. IDF na mossad wanatisha Ndugu zangu. Huko Kusini mwa Lebanon ambalo ndiyo makao makuu ya Hezbollah hakukaliki Wala hakulaliki kabisa huku hofu kubwa ikitanda. Wameamua kufanya maamuzi mazito ya kuwakimbiza haraka maofisa wao waandamizi na vifaa vizito vya kijeshi...
  6. George Betram

    Kiongozi wa Hezbollah: Hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel

    Nasrallah ameipa onyo Israel kuhusu vita inayotazamiwa kutokea baina ya Lebanon na Israel, lakini pia Hezbollah imetoa onyo kwa nchi ya Cyprus endapo itakubali kutumiwa na Israel katika vita hivyo. Inaonekana Hezbollah hawatanii, Israel ana kazi kubwa ya kufanya hapo mashariki ya kati...
Back
Top Bottom