Hii mifuko yote iwe ya hiari tu na sio lazima sababu wote ni wezi; kujiunga ni rahisi lakini kutaka pesa zako ni mlolongo mrefu kama nini!
Mimi nilikuwa PSPF kabla haijajiita PSSSF, tukaambiwa sisi private twende NSSF, sasa nikasema hela yangu vipi inaenda kule au mnanipa? Hawataki eti mpaka...
Jeshi la Polisi nchini limeteketeza silaha haramu 6,208 ambazo zilikusanywa wakati wa kampeni maalum ya wananchi kusalimisha silaha hizo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuongeza nguvu kudhibiti uingizaji silaha haramu ili kusaidia...
Sijawahi kusikia hata siku moja Katiba ikiombwa, Katiba hushinikizwa au kulazimishwa kama ukipenda na sababu ni moja wale wanaotaka Katiba mpya wana nia ya kuingia madarakani ambapo kwa Katiba iliyopo wanaona hawana chance, wale waliokuwa na power ambao ni wanufaika wa Katiba iliyopo hawawezi...
wawakilishi kutoka Kata za Enduleni, Kakesio, Aleilai, Alaitole, Nainokanoka, Olbalbal, Misigyo, Engaresero, Olorieni na Kata ya Ngorongoro.
Akizungumzia uhitaji huo, mwakilishi wa wananchi wa Kata ya Endulen, Foibe Lukumay, alisema wananchi hao, hasa wa jamii ya kifugaji ya Kimasai wanatamani...
Hi guys. Hope mnado poa.
Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2.
Hii ni nyepesi nyepesi.
At Calvary.
====
Taarifa kwa Vyombo vya Habari.
Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine...
Katiba ya sasa ina mapungufu makubwa sana ambayo yanazuia nchi yetu kupiga hatua za maendeleo na kufanya watanzania wengi kuishi katika ufukara wa kutisha. Takwimu zinaonyesha kuwa 96.6% ya watanzania wanaishi chini ya $2 (TSH.4600) na zaidi ya 86% wanaishi chini ya msitari wa umaskini yaani...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Nimekaa nikawaza, kumbe kupitia mitandao ya simu Kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel, nk inaweza ikachochea maendeleo ya moja kwa moja kwa wateja wake bila shuruti, hii inawezekana kupitia mfumo TOZO Kama ilivyoanzishwa na serikali.
Tunajua kwamba, vijana wengi...
Haya ni maoni yangu juu ya hii tozo ya uzalendo (Ingawaje hili jina limekaa fyongo sana, kwa nini unitoze kwa sababu mimi ni mzalendo?):
Serikali hasa wizara husika inapaswa kuweka benchmark/fixed rate ambayo kila mzalendo atakatwa kiwango sawa bila kujali kiwango cha muamala anaofanya...
Tokea nimezaliwa na sio Mimi tu, watanzania wengi kama sio wote tumekua tunapata chanjo kutoka Kwa wahisani (mabeberu)..kila chanjo lazima iwe na side effects Kwa baadhi ya watu lakini sio wote.
hanjo hizi zina umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku!!..tuache propoganda mbaya za...
Video imebeba ujumbe wote.
Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT...
Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3 tarehe 23/8/2021 kama barua inavyosema.
Aidha kasema haogopi chochote, hayumbi ktk misimamo yake bila...
Juhudi za ulimwengu kuudhibiti ugonjwa wa Covid-19 zimeendelea kuenea ulimwenguni kote baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi wanaosababisha ugonjwa huo.
Tanzania ni miongoni kwa mataifa ambayo tayari yamepokea chanjo kupitia...
Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni
Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
Kuwa na dhamana ya maisha ya watu ni pamoja na kuwajibika zaidi hata dhidi ya ujinga wao.
Babu wa Loliondo angekuwa hai Kenya lakini si Tanzania.
Heko rais Kenyatta kwa maana heri lawama kuliko fedheha. Kenya kwa mtumishi wa umma, chanjo ni lazima.
Pole pole tutafika tu.
Kwanza Janssen...
Leo Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga akiwa Mgeni Rasmi amefanya Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao una Kauli Mbiu "Amani Yetu, Maisha Yetu, Chukua Tahadhari Dhidi ya UVIKO-19"
Akizungumza na Vijana mbalimbali waliojitokeza kwa wingi kushiriki uzinduzi huo...
Hiari yenye hamasa, ni nini maana yake?
Ni kutenda badala ya kusema, si kusema nitafanya ila ni kutenda na kuwa mfano.
Ni kuamua kuwa mfano chanya kwa familia yako, rafiki zako, watu wanaokuzunguka, unaowajua na usiowajua.
Ni kuamua kuibadilisha dunia kuwa bora kuliko ulivyoikuta.
Ni...
Chanjo ya Korona inaweza kuwa hiari, lakini usiseme hutaki chanjo halafu uendelee kuwa konda wa basi au nesi hospitali, tafuta kazi nyingine.
Katika hali ya haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kufanya analotaka ili mradi asivunje sheria au kuingilia au kuathiri haki za watu wengine katika...
Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;
1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona
3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa
4) Ipanue maktaba za kupima
5) Itoe takwimu sahihi za Corona
6) Tiba asili zitathiminiwe Kisayansi
Rais Samia Suluhu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.