Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 .
Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
Habari wanajamiiForums, rejea na kichwa habari hapo juu
Naomba kwa pamoja tuwekane sawa kwenye haya masuala ya mifuko yahidhi ya jamii, maana mimi ni mhanga wa kutaka kujuzwa zaidi ya hapa ninapo elewa,
Kufuatia taarifa ya mkurugenzi wa mifuko ya hifadhi ya jamii, tarehe 14 Nov 2018.kupitia...
Leo waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, Kazi, Ajira na wenye ulemavu akiwa Bungeni amekanusha mifuko ya hifadhi ya Jamii kutokuwa himilivu. Alipohojiwa na Esther Bulaya juu ya ripoti ya CAG kusema vinginevyo, ameendelea kushikilia msimamo wake kwa madai ripoti hiyo inaishia June 2021.
Waziri...
Daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo huo utamalizika lini Ili daraja hilo Watanzania waweze kulitumia bila kulipa tozo kama daraja la Tanzanite?
Wanajamii Forum,
Naomba niwape Salam zanguu wote bila ya kujali ya Rangi ,Kabila na dini. Na baada ya Salamu nisiwachoche maana najua shughuli Mingi mwisho wa wiki kujiandaa kwa mapambano ya wiki nyingine.
Leo nina hoja, kwa hapa nchini mwetu kwa sasa tuna mifuko miwili ya Hifadhi ya jamii...
Mheshimiwa Rais Joseph Biden wa Marekani amemteua Bibi Kilolo Kijakazi kuwa Kaimu Kamishna wa Shirika la Hifadhi ya Jamii, Social Security Administration.
Uteuzi wa Mama Kijakazi unafuatia kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo Bwana Andrew Saul ambae alikataa kujiuzulu mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.