King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana.
Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa.
Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa.
AC unaweka hadi 16°c lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service, wamesema gas IPO ya kutosha lakini bado inaelemewa.
Wenzangu mnapambanaje na hili joto, naomba tupeane uzoefu.
Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali.
Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake wajane, wanacheza sana draft...
Salamu wakubwa jaman nilikua na survey Kuna member since 2007 ndo natambaa sijui ila ivi mnajuaga kama Kuna watu wamepotea, au hatupo nao Tena ila muendelee kutupa madini nawaheshimu viongozi muendelee kuepo 💯.
Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam.
Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu
Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana.
Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia.
Lakini pia hiki ni kielelezo namba 1 kwamba waafrica hatuna akili na tu wabinafsi wakubwa kwa nchi...
The Responsibility of Open Discourse
The tagline of our Jamiiforums declares, "Where We Dare to Talk Openly." Yet, does unfettered expression justify indiscriminate speech? Intellectual freedom, when devoid of restraint and wisdom, risks devolving into chaos, undermining the integrity of...
Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu.
Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya maisha, ama uendelee na shule mpaka utakapokomea.
Enzi hizo ilikuwa "utafika mbali endapo una akili"...
MSAADA wapendwa niliandika January mara mbili
NDUGU tunatesekea na ma pants YAAN usiku yanatembea kama watu
Mwanzoo TULIJUA nyoka darini YAAN wanatembea na kishindo kizitoo
Sasa hali n Tete watoto hawalali sisi hatulali YAAN tukianza kuhondomola na themeji YENU YAAN yanakuja KATIKATI usawa...
Kuzaliwa mwanaume ni zawadi ya kipekee sana ambayo hukuichagua ila ulipewa kwa mapenzi ya Mungu.
Tutambue ya kwamba Mwanaume hakuumbwa MATESO bali mateso yalichaguliwa na Mwanaume mwenyewe.
Mwanaume ni mlezi mkuu wa familia nzima yeye ni kama Mwenyekiti na mkewe ni kama katibu, taasisi hii...
Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya haipo katika hali ya kuridhisha kutokana na baadhi ya majengo yake yanayotumiwa na Wanafunzi kuwa chakavu sana.
Nimepita katika shule hiyo mara kadhaa na nimekuwa nikiumia sana kuona hali hii, nashauri Serikali ifanye maboresho kabla...
Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing
Nitakuelekeza mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kufanya dropservicing... Pia ukitaka kufanya freelancing zingatia haya
Kwanza kabisa lazima uanze kama freelancer...
Huu ujumbe nimeuchukua kutoka kwenye grupu la wananchi
Tumsifu yesu kristo,Bwana yesu Asifiwe,Mwanakondoo Ameshinda,Asalam Aleykhum Jamia'Shalom-Ndg Zangu Naamini Kila mmoja wetu ameamka salama na Familia.
Kwa Unyenyekevu wa Moyo wangu' na Shukrani Kwa Mungu Nawatakia Siha Njema mliojaliwa...
Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.
Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na...
Wakuu
Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani?
Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.
TANESCO Morogoro manispaa, huyo mkataji wa zamu leo ni mwanafunzi wa field? Mmemtuma kuangamiza watu wa Bigwa?
Kuweni na nidhamu huu ni UPUMBAVU, eneo la kuanzia Bigwa Stand mpaka Misongeni wiki hizi za hivi karibuni mnalichezea rafu sana.
Acheni upumbavu kama kuna hitilafu kateni rekebisheni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.