Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa.
AC unaweka hadi 16°c lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service, wamesema gas IPO ya kutosha lakini bado inaelemewa.
Wenzangu mnapambanaje na hili joto, naomba tupeane uzoefu.