hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msimamo wangu kwa wasaliti wa nchi na mafisadi, dawa ni lisasi tu, hakuna cha Bwana Yesu asifiwe au mswalie mtume, hii iwe kikatiba

    Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako? Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi? 2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
  2. JamiiForums Tanzania Ni lini Mchungaji Msigwa atafikishwa mahakamani na Mbowe ?

    Naona bado anaendelea , au sio post yake ? Au wanajuana madhaifu yao ? Au anazo bilioni 5 ?
  3. JamiiForums Tanzania Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

    Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kama mmepanga Yanga awe bingwa Mara Mia msisumbue watu

    Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je una ifahamu siri ya kufuga nguruwe bila kupata hasara hii hapa.

    Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?,vifo vya mara kwa mara?wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? Umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group ujipatie...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Naomba kujuzwa hii ni aina gani ya jiwe

    Naomba kujuzwa, hii ni aina gani ya jiwe?
  7. JamiiForums Tanzania Tuijadili katuni hii ya Kipanya

    Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi. Taawili Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu. Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wadau naombeni ushauri kuhusu miwani hii ya macho sijapigwa kweli hapa?

    Mimi ni mtu ambaye ninatumia computer for hours basi kutokana na kuumwa kwa kichwa, macho kuwasha (not all tge time but mara nyingi huisi macho kukaza) Nilipima nikaonekana nipo fresh(mimi naona poa tu) ila ni alergy na mwanga Dokta akasema ninunue miwani ya mwanga Nilikaa baadae nikaenda...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

    Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa na kijana wa hovyo namna hii utamfanyaje?

    Huyu kijana ni Mkenya, graduate wa Education. Anasema alisoma education kwa kumridhisha mzazi wake tu. Kamaliza kapewa certificate yake kumkabidhi mzazi wake na yeye anataka aanze safari ya kutafuta cheti kingine. Kwa mujibu wa video hii hiii cheti cha Education kitabaki kama kumbukumbu tu. Mimi...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tunakumbushana tu ! 2040 sio mbali sana, Hii ndio miaka utayokuwa nayo ukiwa bado hai, Usijisahau sana

    Mwaka 2040 sio mbali sana, Tusijisahau sana kwenye kujiandaa na uzee, kujali afya zetu, kuwekeza, n.k. Umezaliwa 1970, ukifika 2040 utakuwa na miaka 70 Umezaliwa 1971, ukifika 2040 utakuwa na miaka 69 Umezaliwa 1972, ukifika 2040 utakuwa na miaka 68 Umezaliwa 1973, ukifika 2040 utakuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo sita (6) - hii inakuhusu wewe mjasiriamali mdogo

    📖MHADHARA WA 13 Hello mjasiriamali mwenzangu. Naomba leo nishee mambo sita (6) muhimu ambayo ukiyazingatia hutopoteza wateja. Kama unataka kufungua biashara, au tayari umefungua biashara zingatia mambo yafuatayo; 1. UCHESHI NA MATUMIZI YA LUGHA Jaribu kuwa mcheshi kwa wateja hata kama wewe ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa CCM hii, Maendeleo ya kweli kama Taifa tusahau milele

    Hivi hiki chama mnakielewa kina falasafa ipi ya kueleweka. Ukiitafsiri CCM ilivyo ukiwa umetulia kabisa utaona kua haitokuja kutokea CCM ilete maendeleo hata siku moja, Rushwa iliyokithiri ni kansa kubwa inayosababishwa na CCM. Hata watumishi wa umma kama walimu, manesi, maafisa kilimo, polisi...
  14. JamiiForums Tanzania Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

    Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Anayekumbuka jina la Movie hii ya Simba

    Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jokate Mwegelo: Vijana tusitumike kama mgongo kwa wengine kwa maslahi yao kuelekea uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Joketi Mwegelo amewataka vijana wa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Akizungumza kwenye ziara ya siku moja akiwa Mkoani Iringa Katibu huyo mbele ya vijana amewataka...
  17. JamiiForums Tanzania Hii nguvu kubwa sana inayotumika na Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya CHADEMA, nguvu hiyo hiyo ingetumika, bado tungekuwa hatujawapata akina Soka?

    Watanzania wote tunashuhudia jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga katika kuzima maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA hapo kesho. Tunashuhudia askari wengi sana wakimwagwa mitaani, huku wakiwa na magari ya washawasha, wakirandaranda na farasi, wengine hata wakiwa wamebeba na silaha za...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya chadema hayatakuwa na uzito, Jumatatu topic kubwa ni simba na Yanga kwenye mashindao ya Caf ya weekend hii.

    Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wadada wembamba vaeni cargo, msiache hii trend iwapite!

    Wadada, wembamba! Jitahidi kwenye kabati lako usikose cargo pants moja au mbili, mkivaa zinawapendeza sana. Ukijua kuipatia na shirt au jersey na chini raba mnapendeza kinoma. Kama una girlfriend mwembamba msuprise cargo one time, atafurahi. Kama kitovu kizuri unaweza kionesha kinanoga na...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Mawakala wa Huduma ya pesa kwa simu wanavyo shirikiana na matapelii wa ile hela tuma kwenye simu hii.

    Nimestukia huu mchezo. Unaenda kwa wakala wa pesa unatoa lets say laki moja. Wakala anazuga hajaona meseji yako then anakwambia hebu nipe simu yako niangalie kama umepata meseji. Kumbe lengo lake anataka kujua unasalio kiasi gani. Atakupa hela yako utaondoka then meseji ya tapeli itaingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…