hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii nchi kila kona fremu

    Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
  2. JamiiForums Tanzania Ni mfumo wa mpinga kristo ndio leo hii umempa mwanamke mamlaka ya kumshika na kumkaripia mume wake akichepuka

    Kwa kasi hii ya Dunia I hope 50 yrs later wanaume ndio watakuwa wanachumbiwa na kuolewa na wanawake. Ile mamlaka ya Kiungu na kiuongozi ndani ya mwanaume inapotea taratibu. Inafika wakati sms tu ya kawaida ambayo haina ushahidi wa 100% kuwa mume wake anaishi kimapenzi na mwanamke mwingine...
  3. JamiiForums Tanzania Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

    Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao. Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
  4. JamiiForums Tanzania Safari hii sijapata Tende za Msaada. Nani kanifinya? Serikali iangalie suala hili

    Nadhani kuna wahuni wanatufinya sisi wengine hizi tende za msaada. Safari hii sheikh wangu J. Topeo anasema hakupata. Ni kweli au naye ananifinyia kwa ndani? Serikali iingilie kati suala hili kwa kweli. Maana ni kama imetuacha wananchi wake. Tende ziingizwe nchini bure kwa wingi.
  5. JamiiForums Tanzania Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

    Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi wa 3, ambao ni mwezi wa Mungu. Ni wazi kila mwananchi anafahamu kuhusu kampeni za wazi kabisa za kutaka Rais wa awamu ya 5 Dkt John Magufuli aongezewe muda wa utawala wake kinyume kabisa cha Katiba ya Tanzania, yaani baada ya kumaliza utawala wake wa miaka...
  6. JamiiForums Tanzania Band of Brothers: Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii

    Series hii inahusu harakati za askari wa miamvuli wakati wa WWII. Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.
  7. JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

    Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom. Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu...
  8. JamiiForums Tanzania Waliofanikiwa katika dunia hii ni wachache sana, wengi bado wanahangaika

    Maana yangu katika kufanikiwa: Kufanikiwa ni kuwa na uhuru wa kifedha, kuwa na amani moyoni, bila kuwepo na nguvu ya ziada ya ushurutishaji; uwe wa kimawazo, kiuchumi au kimazingira. Hii inatafsiri, aliyefanikiwa anaweza kujiamulia mambo yake mwenyewe bila kuwepo na ushurutishaji wa kufanya...
  9. JamiiForums Tanzania NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

    Dawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hizikkw
  10. JamiiForums Tanzania Single parents wanaweza kufurahia tena mahusiano na kuwa kwenye ndoa zenye furaha

    Mada nyingi kwa sasa ni zile zinazowaandaa vijana wa kiume kukataa ndoa kisa matatizo yanayosababishwa na jinsia ya kike. Hata wanawake nao wana ajenda yao yao ya pata mtoto lea mwenyewe maisha yasonge, ila hali ni mbaya kwa future life hasa kwenye serikali ya familia. Hii mitandao tunayotumia...
  11. JamiiForums Tanzania Katika hii droo ya Yanga na Mamelodi ni nani hasa Analengwa atoke au asitoke mapema CAFCL 2023/24?

    Binafsi ni mwana Simba lakini kuna kila dalili droo ya Yanga vs Mamelodi ilipangwa kimkakati , ikihusisha mawazo tofauti tofauti hususani YANGA na Mamelodi ziko kwenye kiwango bora kwa sasa . Kuna nini Nyuma ya Hii droo ?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu wa kwanza baada kuona naingiza pesa nyingi alijazwa upepo tuaachane ili apate pesa kirahisi

    kuna kipindi kifupi hapo nyuma upepo wa fedha ulinipitia, niliwahi kuwa na biashara naingiza almost milioni 6 faida kila mwezi, nilishaiacha baada ya ushindani kujaa sokoni kiasi kwamba hata laki 5 kwa mwezi kuipata ilianza kuwa ngumu, 2020 niliachana na aliewahi kuwa mke wangu, sababu ikiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

    Mchicha pori mwekundu je! Unaliwa ama sumu? Na upandaji wake ni kama mchicha tuliouzoea? Hivyo nikisema nijaribu kuupanda unakubali kwa all season kwa maana kiangazi na masika? Mchicha pori nimetokea kuupenda sana sana, ila huu mwekundu unanipa mashaka kama unaliwa. Msaada wenu wanajamvi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini naipenda Jamii Forums? Sabau kuu ni hii...

    KWA NINI NAIPENDA JAMII FORUM? SABABU KUU NI HII. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli JamiiForums ni moja ya mtandao mkubwa hapa Tanzania ambao ninaupenda na haiwezi kupita siku bila kuingia kama nitakuwa mzima. Nilianza kuingia JF mwaka 2011 kutokana na upenzi wa kusoma Makala ndefu zenye tija...
  15. JamiiForums Tanzania Kisia Foundation ya nini hii?

    Weka neno Foundation ya kitu gani hii, wataalam tupieni neno.
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ninyi kinabibi afya na bwana afya hii ni kawaida?

    Pengine ni hali ya maisha inapelekea hivi mtu anajifunguwa hajamaliza mwezi anakuja kuuza chakula mgahawani na anamuogesha nje hapo bila aibu. Nauliza ninyi watu wa afya hamuoni ongezeko la hii hali au ni kawaida mtueleweshe mtu kama mimi. Huyu mtu kwanini msimwambiye alee kwanza mtoto wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Kitaalamu hii tunaitaje?

    Hii tunaitaje kitaalamu zaidi?
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kuna haja ya kukaribia ballot box kweli 2025?

    Ni taarifa za kushangaza, za kutisha, za kukera na kuogofya sana. Nimeongea na viongozi wengi wa ngazi zote, za chini, za kati na za juu. Wote wanakubaliana katika jambo moja: wananchi hawasaidiki, kwa hiyo waachwe kama walivyo, wasijaliwe na watawala "wafanye yao." Hali ilivyo sasa ni kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Tabia ya wafanyabiashara kukaa na simu zinazotumika kufanya miamala mbali na eneo la biashara inakera

    Kuna hii tabia imezuka ya wamiliki wa biashara kuweka huduma za kifedha za mitandao ya simu mbalimbali lakini simu wanakaa nazo wenyewe mbali na ofisi zao na kwenye biashara zao wanaweka vijana ambao ukitoa pesa au kuweka lazima awasiliane na bosi wake ili akupe au kukuwekea. Hii tabia kiukweli...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi umekua, wananchi wana/wataendelea kuwa maskini," Aina gani hii ya uchumi isiyo na tija kwa mwananchi?

    Katika taarifa ya ripoti ya utafiti wa REPOA unasomeka kwamba uchumi wa nchi yetu unakua kwa kasi lakini nao umaskini wa wananchi unaongezeka kwa kasi. Hoja yangu ni kwamba huu uchumi usio na manufaa kwa wananchi unatengenezwa na nani na kwa manufaa ya nani? Niombe msaada wa elimu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…