hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

    Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je? Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
  2. Andiko hili katika Biblia ndio kifungu katili zaidi kuwepo Duniani. Je, ni kweli Mungu aliamrisha ukatili wa namna hii?

    Mzuka Wana jamvi. Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita kushoto mapema. Kwa wasiojua Kiswahili au Foreigners nimewarahisishia kazi.
  3. 3

    Hii biashara imekaaje wakuu?

    Habari za muda huu, Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo. Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki...
  4. Imani za Jamii kuhusu uaminifu wa mwanaume wakati wa ujauzito: Ukweli au Dhana Potofu?

    Kwenye jamii zetu au huku mitaanj kuna story zinasema,, Mume au Mwenza wa kiume akienda kucheat(kuchepuka) hali ya kuwa Mkewe au Mpenziwe ni mjamzito anaweza kusababisha matatizo kwa mtoto au mama kabla/wakati wa kujifungua au kupeleka mtoto/mama kupoteza maisha kabisa. Hii imekaaje kwenye...
  5. Vijana wa Namna hii huwezi wakuta Mara na viunga vyake. Wapo sana Tanga& Daslam wapenda Taarabu

    Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena. Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma. Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
  6. Hii ndo tathimini kuelekea January 22 katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

    Ukweli ni kwamba Mbowe atashinda. Si kwasababu anakubalika sana na WanaCHADEMA hapana, ila ni kwasababu mirija ya chakula ya wajumbe walio wengi imefungamanishwa naye. Hivyo akishindwa kula yao ita-stop abruptly. CHADEMA ya sasa ipo chini ya Mbowe na washirika wake. Lissu atashindwa uchaguzi...
  7. Ukiota ndoto kama hii huwa inamaanisha nini?

    Nimelala nimeota amenitokea nyoka mkubwa sana alafu akaanza kupaa juu yani anakwenda mawinguni. Anajua hii inamaanisha nini aniambie..
  8. Christmas yote hii halafu mashabiki wa Yanga wamejaa malalamiko

    Inafikirisha sana, dunia nzima ipo katika shamrashamra za birthday ya Yesu Kristo, hawa ndugu zetu vyura wanaharibu mood yetu kwa kujaa malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu. Ukiwauliza wanalalamika nini hawana jibu la kueleweka. Mara refa, mara analalamikiwa mchezaji wa JKT, wanamlaumu hadi...
  9. Endapo Mbowe atakuwa mwenyekiti kwa mara nyingine, hii ndio itakuwa safu yake ya uongozi

    Hii kwa sasa ndio cream ya chadema ya Mbowe. Awa ndio tunatakiwa kuwaamini kuwakabidhi dola na hazina ya taifa. Tumepigwa parefu!
  10. 4

    Ndugu yangu Yeriko , hivi haibu hii unawapelekea mizim wako tena ,mizim itakuchoka.

    Wakuu jf amani ya kila mtu jf imezingatiwa nami nasema Mungu wetu yu hai Kwako Yeriko Nyerere , naona watangangika wameanza kukuona zwazwa spana za Facebook sio za kitoto mkuu jitafakari, umeyataka mwenyewe na yanakurudi sasa ,nenda kwa mizim yako katubu ,vinginevyo hakuna rangi hutoina hapa...
  11. M

    HII PICHA NA CONTENT ZA LISSU ZINAMAANA GANI ?

    Wadau muda mdogo mambo mengi Picha imekataa, kuhusu kuunga mkono mazungumzo ya chadema na bi Samia
  12. kabla ya kumaliza mwaka nawapa hii code jinsi ya kuishi na wanawake ifuatilie ufurahie edeni

    Nyuki ni wazuri sana kwa kuwahutupa asali ila nyuki huyo huyo ukishindwa kufuata tahadhari anaweza kukuua kukupofusha macho au mambo kama hayo mengi sana .Nduguyenu nimekuja na code muhimu sana kwa wanaume ili waishi vizuri na wapenzi wao au wanawake wote kiujumla na hizi code ndio kuishi nao...
  13. 5

    Hii interview ya Lissu ndio kaburi la Mbowe, Lussu amekokomoka yote

    https://www.youtube.com/watch?v=U1vjcZOGJZ4
  14. Hakikisha haikosi ndani mwako hii kitu kaka

    Hakikisha haikosi ndani mwako hii kitu kaka
  15. Mnatumia mbinu gani Kwenye hii hali

    Habari ya muda wazee Kuna mshikaji kankomba ushauri nimekosa jibu la kumpa Yeye anamke wake ila Mimba iliharibika baada ya muda Kidogo mke jamaa akataka show wakati wa tendo jamaa aliniambia uke ni mgumu hivyo anashidwa Kabisa kupitisha uume nilitaka nimshauri atumie vilainishi(ila Sina uzoefu...
  16. L

    Tazama picha hii ya Lissu upate kujua anachukuliwaje ndani ya CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Katika picha hii unaweza kujua na kupata Picha Namna gani Lissu anachukuliwa na kiwango cha thamani na heshima yake ndani ya CHADEMA. Hapa unaweza kuona na kutambua wazi kuwa Lissu Tangia Awali na zamani alikuwa haheshimiki wala kuthaminiwa wala kukubalika wala kwa...
  17. G

    Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  18. Vijana: Tukitaka kuibadiri nchi hii tujiunge na CCM

    Japo nafasi ni chache ndani ya ccm lakini hadi sasa kwa haya yanayo endelea chadema, chama pekee ambacho hakina maslahi binafsi ni CCM. Sikuwahi kuamini kelele za watu kwamba chadema ni chama cha familia ya mbowe hadi juzi alipo chokonolewa na kusema ukweli. Chadema is a very good business kwa...
  19. C

    KERO Kata ya Kibata wilaya ya Kilwa ina miundombinu ya barabara mibaya na kupelekea maisha kuwa magumu

    UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA. Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina jumla ya shule nane(msingi 7 na Sekondari 1). Vilevile ni kata yenye dispensary 4 sawa na vijiji...
  20. Watu ambao mmekata tamaa nawapa njia hii ya uhakika ya kuzifungua njia zako .

    Habari yenu wadau wa JAMIIFORUM. Leo hii nataka kuwapa dondoo kuhusu MAISHA . Watu wengi najua wanapitia magumu Sana wameomba sana Kwa MUNGU Ila wametoka 0-0 na wengine wameroga Sana Ila wametoka 0-0. Siri iliyopo katika haya MAISHA ni (shukrani ). Anza kuwaambia watu neno Asante na anza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…