TTCL (Shiriki la mawasiliano la Tanzania) leo ni mara ya nne nakatwa pesa kila niingizapo vocha kwenye simu.
Mie huweka vocha tatu za shs 1,000/= ili nijiunge na kifurushi, cha ajabu naweka vocha ya kwanza haikatwi ya pili inakatwa ya tatu haikatwi.
Mara ya tatu usiku nilijaribu kununua bando...