Aisee wazee wa zamani waliufaidi muziki...huu wimbo ndio bora kwangu toka nimekuja duniani kwa sababu zifuatazo
1. Mashairi yameiva kuna ujumbe murua
2.Una vibe balaa
3.beat lipo kwenye high frequency
4.sauti ya mwimbaji imefana
5.unachezwa popote club, harusini,hata kwenye sherehe
ππππππππ...