Mwaba huya hapa, mshikaji kama amegoma kufa. Bado anatrend kinoma katika social network ukilinganisha na wasanii kibao ambao wangali hai.
Picha za Pac zimekua ni brandi kubwa katika bidhaa kibao kama kwenye t-shirt, viatu, vitambaa, mabegi, tattoo, na ni role model kwa raia kibao.
2Pac dunia...