hiram samuel iyodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mgombea Urais Hiram avunja ushirikiano na FDC/CFD, asema Biya hajashinda Uchaguzi wa Cameroon 2025

    Raia wa Cameroon walipiga kura Jumapili, Oktoba 12, 2025, katika uchaguzi unaotarajiwa kumrejesha madarakani Rais Paul Biya, mwenye miaka 92, ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa zaidi ya miongo minne. Uchaguzi huo, uliofuatiliwa kwa karibu na wachambuzi wa ndani na wa kimataifa, umeibua mjadala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…