MATUNZO KWA MWENZA SIO HISANI BALI NI LAZIMA.
Je wajua kuwa mume au mke kutoa matunzo kwa mwenza wake ni lazima kisheria?
Soma hapa upate majibu.
Tulio wengi tunadhani kuwa kutoa matunzo kwa wenza wetu ni hisani tu kama namna ya kuwasaidia au kuonesha upendo tu dhidi yao na wala sio jambo la...
Siku ya Kimataifa ya Hisani inaadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Septemba na iliidhinishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo 2012
Siku hii ilianzishwa kwa madhumuni ya kuhamasisha watu, mashirika yasiyo ya kiserikali, na wadau kote ulimwenguni kusaidia wengine kupitia shughuli za kujitolea...
Kuna hii huduma ya ku trace simu hutolewa na polisi wapelelezi. Kama umepoteza simu au unamtafuta mtu fulani namba yake inakiwa traced kujua yupo wapi.
Utaratibu wa utoaji wa hii huduma umekaa kiwizi wizi sana. Hakuna utaratibu rasmi wa kiserikali. Ni kama mradi wa mtu binafsi au wa serikali...
Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi:
Wenye ajira kudhani wasio na ajira ni wapuuzi hiyo si sahihi.
Kwanini rais ang'ake kusikia tishio kwenye kuendelea na urais baada ya 2025?
Kwanini Makalla asiwe tayari kuachia ngazi na kwenda kujiajiri?
Kwanini yasipunguzwe maslahi serikalini...
kunatetesi kwamba TFF wameamua kuweka viingilio vikubwa mechi ya leo kati ya Simba na Yanga ili kukidhi matakwa ya mdhamini wa mechi ya leo ni AZAM, ambaye inasemekana ndiye aliyeshinda tenda ya kuonyesha mechi ya leo (utaratibu wa kumpata nao ulikuwa ni kuzungumkuti) kwani uligubikwa na...
Yaani hawa jamaa bana wakishinda atatoka msukule na Injinia kuji mwambafai wakitia aibu kama ile ya kule Naija basi ni Bumbuli na Hajj mfikirwa
Naona week hii kuna mtu kajificha nyuma ya keyboard anasubiri miujiza jumamosi ili aibuke mafichoni kilichobaki huko ni kutangaza decorders za azam...
Kwa mfumo unavyokwenda Sasa hivi tutegemee wasomi na viongozi wetu waandamizi wengi kupoteza maisha kutokana na kuajiriwa au kupewa madaraka ambayo kwa kiasi kikubwa hayawaruhusu kumaliza siku wakiwa na amani, awatumii taalumu zao na awazalishi kwa ajili ya nchi kama walivyotamani kufanya kwa...
Leo ulikuwa maeneo ya Chalinze.
Tumesimama tangu asubuhi hadi muda huu gari haziendi kisa Mwenge!
Wanafunzi wamekatishwa masomo yao wapo wamejipanga mistari hapo kushuhudia Mwenge!
Tunaanzaje kupona na hii Corona?
Wagonjwa wangapi wameathirika kutokana na kucheleweshwa na misafara ya Mwenge...
Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika
Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
Mama samia akiamua mchakato wa katiba mpya kwa sasa itakuwa kafanya hisani tu na wala isisemwe ni takwa la wananchi.
Ilani ya chama cha mapinduzi hawakuahidi katiba mpya hivyo haipo katika mambo ambayo wanatakiwa wayatekeleze.
Kama ambavyo watu wanawaponda wana CCM kwamba kuna mambo katika...
Salamu!
Ni vyema tunaposema kuwa tunaenda kufungua uchumi kwa kualika wawekezaji wa nje tuwe na sera mahsusi na sheria dhibiti zinazotuongoza katika utekekezaji.
Iwapo Sera na Sheria zetu ni duni katika hili tutegemee kuanguaka kiuchumi.
Je, Sheria au Sera ya kufungua uchumi kwa hisani ya...
Wanabodi,
Kila siku za Jumapili, huwa ninaandika makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya wiki hii ni kuhusu hoja ya "Haki sio hisani, ni stahiki".
Japo hakuna binaadamu yoyote anayefurahi kifo cha mtu yoyote, kifo chochote kinapotokea, kinahesabika ni mpango wa Mungu, na kama kawaida watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.