Majdal Shams ni wapi?
Majdal Shams iko katika eneo la Golan Heights, uwanda wa miamba kusini magharibi mwa Syria wenye umuhimu mkubwa wa kimkakati, ambao ulikaliwa na Israel wakati wa vita vya 1967 na kusalia chini ya udhibiti wake tangu wakati huo, ingawa jumuiya ya kimataifa inaitambua...