Leo Agosti 6, 2026 nilikuwa na safari ya kutoka Dar kwenda Mwanza, kupitia usafiri wa ndege ya ATCL, nilifika Airport na kukamilisha taratibu zote za 'Check-in' kabla ya safari iliyotakiwa kuanza Saa Sita Mchana.
Tukiwa katika foleni ya kuingia kwenye ndege, abiria watano wa mwisho...