KERO Air Tanzania imeondoka na abiria wengine, wametuzuia watano, tunaambiwa kuna 'Technical Problem', hii ni sawa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Leo Agosti 6, 2026 nilikuwa na safari ya kutoka Dar kwenda Mwanza, kupitia usafiri wa ndege ya ATCL, nilifika Airport na kukamilisha taratibu zote za 'Check-in' kabla ya safari iliyotakiwa kuanza Saa Sita Mchana.

Tukiwa katika foleni ya kuingia kwenye ndege, abiria watano wa mwisho tukasimamishwa, maafisa wa ATCL walianza kuzunguka na kutoa sababu zisizoeleweka. Wakadai kuwa mizigo na kilo zimezidi, lakini nilipowahoji walibadili maneno.

Baada ya kupoteza takriban dakika 45 na muda wa ndege kuondoka ukizidi kusogea, ghafla walianza kutangaza: "Kuna changamoto ya kiufundi (Technical Problem), hivyo hamtaweza kupanda ndege hii na tutawafanyia taratibu za kuwahamishia (reallocate) kwenye ndege nyingine."

Kitu kilichonishtua na kunisikitisha zaidi ni kwamba ndege haikutatizika wala kuahirishwa safari, abiria wengine wote waliokuwa mbele yetu walipanda na ndege hiyo hiyo ya ATCL ilitangazwa, ikapaa na kuondoka kwenda Mwanza.

Inakuwaje sisi watano tu ndio iseme kuna tatizo la kiufundi? Walichofanya wametuchukua na kutuleta hotelini wakidai watatutafutia ndege ya usiku, binafsi nilikuwa na safari nyingine ya kuunganisha na ni muhimu sana, sasa ATCL wameharibu kila kitu nilichopanga.

Wiki iliyopita nilimwona pia mtangazaji mmoja wa Wasafi FM akisema kuna sehemu walienda wakaambiwa ndege imejaa japo haikusemwa ni ndege ya shirika au kampuni ipi, sasa inakuwaje ndege inajaa wakati abiria ameshakata tiketi na kila kitu kinajulikana, kwani zimekuwa kama Daladala siku hizi?
 
Leo Agosti 6, 2026 nilikuwa na safari ya kutoka Dar kwenda Mwanza, kupitia usafiri wa ndege ya ATCL, nilifika Airport na kukamilisha taratibu zote za 'Check-in' kabla ya safari iliyotakiwa kuanza Saa Sita Mchana.

Tukiwa katika foleni ya kuingia kwenye ndege, abiria watano wa mwisho tukasimamishwa, maafisa wa ATCL walianza kuzunguka na kutoa sababu zisizoeleweka. Wakadai kuwa mizigo na kilo zimezidi, lakini nilipowahoji walibadili maneno.

Baada ya kupoteza takriban dakika 45 na muda wa ndege kuondoka ukizidi kusogea, ghafla walianza kutangaza: "Kuna changamoto ya kiufundi (Technical Problem), hivyo hamtaweza kupanda ndege hii na tutawafanyia taratibu za kuwahamishia (reallocate) kwenye ndege nyingine."

Kitu kilichonishtua na kunisikitisha zaidi ni kwamba ndege haikutatizika wala kuahirishwa safari, abiria wengine wote waliokuwa mbele yetu walipanda na ndege hiyo hiyo ya ATCL ilitangazwa, ikapaa na kuondoka kwenda Mwanza.

Inakuwaje sisi watano tu ndio iseme kuna tatizo la kiufundi? Waluchofanya wametuchukua na kutuleta hotelini wakidai watatutafutia ndege ya usiku, binafsi nilikuwa na safari nyingine ya kuunganisha na ni muhimu sana, sasa ATCL wameharibu kila kitu nilichopanga.

Air Tz katiks one n two
 
Hahaha! Unanikumbusha mambo ya zamani ya kwenye treni na mabasi, makondakta wanapambanisha tiketi, yaani siti moja inakatiwa hata kwa abiria watatu halafu mnakuja kugombana ndani ya safari.

Sasa itakuwa kwenye ndege haiwezekani abiria kusimama, ingekuwa inawezekana wangekuwa wanawasondeka kwa sababu sisi WaTZ tumeamua kuishi mfumo wetu wa maisha!
 
Leo Agosti 6, 2026 nilikuwa na safari ya kutoka Dar kwenda Mwanza, kupitia usafiri wa ndege ya ATCL, nilifika Airport na kukamilisha taratibu zote za 'Check-in' kabla ya safari iliyotakiwa kuanza Saa Sita Mchana.

Tukiwa katika foleni ya kuingia kwenye ndege, abiria watano wa mwisho tukasimamishwa, maafisa wa ATCL walianza kuzunguka na kutoa sababu zisizoeleweka. Wakadai kuwa mizigo na kilo zimezidi, lakini nilipowahoji walibadili maneno.

Baada ya kupoteza takriban dakika 45 na muda wa ndege kuondoka ukizidi kusogea, ghafla walianza kutangaza: "Kuna changamoto ya kiufundi (Technical Problem), hivyo hamtaweza kupanda ndege hii na tutawafanyia taratibu za kuwahamishia (reallocate) kwenye ndege nyingine."

Kitu kilichonishtua na kunisikitisha zaidi ni kwamba ndege haikutatizika wala kuahirishwa safari, abiria wengine wote waliokuwa mbele yetu walipanda na ndege hiyo hiyo ya ATCL ilitangazwa, ikapaa na kuondoka kwenda Mwanza.

Inakuwaje sisi watano tu ndio iseme kuna tatizo la kiufundi? Waluchofanya wametuchukua na kutuleta hotelini wakidai watatutafutia ndege ya usiku, binafsi nilikuwa na safari nyingine ya kuunganisha na ni muhimu sana, sasa ATCL wameharibu kila kitu nilichopanga.

Wiki iliyopita nilimwona pia mtangazaji mmoja wa Wasafi FM akisema kuna sehemu walienda wakaambiwa ndege imejaa japo haikusemwa ni ndege ya shirika au kampuni ipi, sasa inakuwaje ndege inajaa wakati abiria ameshakata tiketi na kila kitu kinajulikana, kwani zimekuwa kama Daladala siku hizi?
Simply.
Siti 5 zilikuwa already booked na vibopa.
Nyie wa 5 mkasimamishwa ili kupisha hao wa 5 wajazie hizo siti.

Laiti ingekuwa kama mabasi ya siku hizi mngekalishwa kwenye vindoo au vidumu
 
Kwa kawaida local flights huwa wana-OVERBOOK abiria. Wanachukua booking za abiria kuliko uwezo wa ndege wakitegemea kuna abiria wataahirisha au kuchelewa check in. Hapa airline wananufaika. Kama itatokea abiria wote kufika airport ndio inatokea kama hivi. Kwahio mleta mada hizi local flights jitahidi uwe unawahi ku check in.
 
Pole kwa yote mkuu. Mimi labda niulize ni sh ngapi hadi mwanza from dar coz natamani siku moja nipaishwe na mimi. Na unahitaji uwe na nini tofauti na pesa ya kula njiani na inachukua mda gani ufke mwanza tafadhali
 
Pesa ya kula njiani😁😁
 
Mleta mada unayo haki kulalamika.
Ila bora umeachwa kuliko ungeingia na kusababisha ndege kuzidisha mzigo (uzito).
Kwanza ungekaa wapi? Lile siyo basi kusema utasimama au utakaa chini.
 
Pole kwa yote mkuu. Mimi labda niulize ni sh ngapi hadi mwanza from dar coz natamani siku moja nipaishwe na mimi. Na unahitaji uwe na nini tofauti na pesa ya kula njiani na inachukua mda gani ufke mwanza tafadhali
Kaka unatuchora leo
 
Back
Top Bottom