Wanajamii kwa jinsi mambo yanavyoenda napata wasiwasi inaweza kuwa Hamas na Hizbullah waliingizwa kingi na Mossad kufanya mashambulizi ya October 7 na 8 2023.
Kwanini nasema hivi:
Inawezekaa pandikizi wa Mossad ndani ya Hamas walipanga hili Jambo. Wakawaset Hamas kupanga Hilo shambulio ili...
Wanajeshi zaidi ya 8 wa Israel wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya ambush ya kushutukiza ya wapiganaji wa hizbullah wakati wa jaribio la wanajeshi hao kuingia kwenye kijiji cha mpakani cha Odaisseh nchini Lebanon ,wanajeshi wa Israel walirazimika kurudi nyuma baada ya shambulizi hilo...
Katika mashambulio hayo mapya Hizbullah wametlumia makombora aina ya FAD 3 wamesema yamelenga yaliplokusudiwa ikithibitishwa na IDF waliosema wametungua baadhi yake,
Sehemu zilizokusudiwa kulengwa ni makao makuu ya Mossad na kambi za jeshi kuu za IDF
Hiyo inatokea huku jeshi la Israel likiwa...
Imeelezwa kuwa mfumo wa mgawanyo wa madaraka na utayari wa kimapambano ni mmoja ya mifumo bora katika vyama vya utetezi wa haki kwani huwa daima hautingishiki kutokana na vifo vya viongozi wao wakuu.
Kutokana na mfumo huo nafasi yoyote inayoaachwa wazi basi huwa kuna makundi ya waliotayarishwa...
Kifo cha kiongozi wa muda mrefu wa Hizbullah japo kimekuwa ni huzuni kubwa kwa wananchi wa Lebanon na wapenda haki hata hivyo hakijaleta taswira ya kumalizika mapambano kati ya Hizbullah na taifa hilo la kiyahudi.
Muda mfupi tu baada ya kutolewa uthibitisho wa kifo cha kiongozi huyo kombora zito...
Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo,
Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya...
Baada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300.
Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel.
Kwa mujibu wa matangazo hayo ya moja kwa moja makombora mawili kati ya hayo...
Siku mbili baada ya mashambulio ya kielektronik nchini Lebanon yaliyofanywa na Israel na kufuatiwa na mashambulizi ya maroketi nchini Lebanon,hizbollah nao wamefanya shambulizi la aina yake lililolenga mifumo ya umeme ndani ya Israel
Baada ya mashambuli ya kuripuka kwa simu na walkie talkie...
Hizbullah walifanya shambulizi hilo katika kujaribu kulipa kisasi milipuko ya vifaa vya mawasiliano,iliyoondoka na uhai wa watu takribani thelathini mpaka sasa na wengine wakiwa na halo mbaya...
Habari za kijasusi za Marekani kwamba Iran wameisambazia Urusi makombora ya masafa mafupi zitakazotumika katika vita na Ukraine, sasa si siri tena baada ya mbunge wa Iran na mjumbe wa kutunga sera za kiulinzi kusema ni kweli wameshaipatia Urusi silaha hizo.
Akiweka wazi hatua zao hizo,mbunge...
Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka...
Gazeti moja la Kizayuni limetangaza kuwa, kiyama kitaishukia Israel iwapo Iran na Hizbullah zitaamua kufanya mashambulio ya pamoja dhidi ya utawala wa Kizayuni.
Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronot limetangaza habari hiyo katika toleo lake jipya kabisa na kusisitiza kuwa, utabiri wa mashirika...
Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star link.Israel ikamshutumu sana na yeye akarudi nyuma.
Hata hivyo watu wenye ndugu zao nje huko Gaza...
Hapo jana Benjamin Netanyahu,waziri mkuu wa Israel amemlalamikia raisi Biden wa Marekani kwamba amezuia shehena ya silaha tangu mwezi Mei na hiyo ndiyo sababu ya kudorora kuipiga Rafah ili kufikia malengo.
Kwenye video fupi ya malalamiko hayo Netanyahu amejipa moyo kwamba katika ziara ya karibu...
Kuishi kwa uhasama na jirani zako au kwa kuonesha kwamba wewe ni mbabe daima kuna madhara makubwa.
Na hapa ndicho ninachopenda kukitolea taarifa kufuatia tangazo la kundi la Palestine Islamic Jihad (PIJ) kusema limeazimia kupeleka wapiganaji nchini Lebanon kupitia tawi lake la Syria ili...
Wiki hii nzima Hizbullah wamekuwa wakirusha makombora mfululizo kuzipiga kambi za jeshi kaskazini ya Israel.Kinachoshangaza majibu ya makombora hayo yamekuwa hafifu sana kutoka kwa Israel ukiondoa yale ya kupiga gari na pikipiki zilizobeba baadhi ya makamanda wa Hizbullah.
Miongoni mwa silaha...
Kwa mara ya mwanzo vikosi vya Hizbullah nchini Lebanon vimetoa tangazo la kuzirushia makombora ndege za kivita za Israel na kuzilazimisha kurudi zilikotoka.
Kufuatana na taarifa ya aljazeera makombora ya kusaka ndege kutoka ardhini kwenda hewani yametumika kuzilenga ndege hizo ikiwa ni siku...
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza.
Mwezi uliopita Hizbullah walifanikiwa kuipiga rada kubwa ya jeshi la Israel ambayo kazi yake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.