Kaka na dada zangu,
Baba na mama zangu,
Bibi na babu zangu,
Wajomba na Mashangazi zangu,
Wadogo zangu wote. Heshima kwenu.
Mimi nimejiunga hapa jf baada ya kusoma kama mgeni kwa muda kidogo, mpaka sasa nina mwezi mmoja kama mwana chama. Naomba ushirikiano wenu, mnionyeshe mitaa na chochoro za...