hodi

The history of the Jews in India reaches back to ancient history. Judaism was one of the first foreign religions to arrive in India in recorded history. Indian Jews are a religious minority in India who have historically lived there with very sparse instances of anti-Semitism from the local non-Jewish majority. The better-established ancient Jewish communities have assimilated many of the local traditions through cultural diffusion. While some Indian Jews state that their ancestors arrived in India during the time of the Ancient Kingdom of Judah, others identify themselves as descendants of Ancient Israel's Ten Lost Tribes who arrived earlier. Some claim descent particularly from Ancient Israel's tribe of Menashe and are referred as the Bnei Menashe. It is estimated that India's Jewish population peaked at around 20,000 in the mid-1940s, and began to rapidly decline due to their emigration to Israel after its creation in 1948.

View More On Wikipedia.org
  1. RWANTANG

    Mgeni miye naomba mnipokee

    Habari wana jamiiforums. Mgeni miye naomba mnipokee kwa mikono miwili
  2. Deja vu27

    Hodi wana JF

    Ni kijana wenu mpya katika forum naomba mnipokee ntawapa ushirikiano pale panapo hitajika na me pia naomba mnipe ushirikiano tuweze kufikia lengo na kwa kumalizia ntafata sheria na miongozo iliyowekwa na kuiongoza hii forum Thanks🙏🙏
  3. P

    Mgeni

    Hello here! Hodi hapa JF!
  4. Roboti la Matope

    Hodi hodi wakulungwa

    Nafurahi kuwa mwanajamii forum mpya.
  5. T

    Hodi wana JF

    Kwa iman zetu najua wote tuko salama, nawasalam! Naomba mwenye anajua solo na uzalishaji was sabuni ya unga kwa mikoa ya pwani anisaidie
  6. Action and Reaction

    Hodi hodi

    Hodi hodi! Wenye mji, kwa mara ya kwanza kuwa member wa Jamiiforums, ingawa nilikuwa msomaji mzuri wa mahubiri yenu. Naomba mnikaribishe
  7. F

    Hodi WanaJF

    Najitambulisha kwenu kama Member mpya, kwa ukarimu wenu mmeishanipandisha cheo hadi kuwa Senior Member, ninawashukuru kwa hilo, endeleeni kunipa ushirikiano kwa viwango stahiki. Nami kama mgeni sijaja mikono mitupu, nimewaleteeni pamoja nami baraka za mawazo mapya mbadala, nipokeeni wenyeji wangu.
  8. UncleTnd

    Hodii. Mjomba wa Wajomba amefika na huku tena

    Ni mjomba wa wajomba, Mwenye kulonga kwa wahenga na wakunga, mjini na vijijini, anagonga hodi hapa kujenga na kujengwa.
  9. VUTA-NKUVUTE

    Kesi ya Mbowe na wenzake inaanika hadi 'mambo ya siri za nchi'. DPP hujachelewa kuifuta

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu. Nafuatilia kwa kwenda mwenyewe Mahakamani. Hata sasa nipo Viunga vya Law School of Tanzania ilipo Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwa ajili ya...
  10. Restless Hustler

    Mtu abisha hodi mchana, kwanini umuulize "wewe ni nani"?

    Habari za muda huu! Mtu anabisha hodi mchana kweupe, kwanini umuulize "wewe ni nani"?! Sioni mantiki ya kumuuliza hili swali mchana. Ingekuwa ni usiku sawa maana usiku una mambo mengi. Binafsi nikigonga mlango mchana, mtu aniulize hivyo huwa natafsiri kwamba ni dalili ya ubinafsi na ni...
  11. zink

    Habari wakuu mimi ni new member

    Habari wakuu mimi ni new member humu jf, naombeni mnipokee tutakua nanyi pamoja 🙏🙏🙏🙏🙏
  12. M

    Hodi hodi hodi... JF

    Habari kama ilivyo mimi ni mgeni humu licha ya kuwa mtembeleaji wa JF kama mgeni ila nimeamua kujisajili. Naombeni mnikaribishe kwa bashasha Mimindoyulejamaamkatili
Back
Top Bottom