hofu ya maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nini chanzo cha hofu impatayo mtu anapo fika umri wa miaka 30 na kuendela

    Tokea nilipofikisha miaka 30 mpaka sasa mwaka wa 6 baadae, nimekuwa na hofu sana na maisha nikitazama nilipotoka na kulinganisha nilipo majibu ya ninakoenda hakuna nuru, mapambano ni mengi ila matokeo chanya ni machache sana. Miaka kumi nyuma ilikua ni juzi tu hapo nilikua na miaka 20 na, miaka...
  2. Hofu ni nini?

    Hofu ni hisia ya kisaikolojia ambayo mtu huipata anapokabiliana na hali inayotishia usalama, afya, au ustawi wake. Ni majibu ya asili ya mwili na akili kwa hali zinazochukuliwa kuwa za hatari au zisizojulikana. Hofu inaweza kuwa na viwango tofauti, kuanzia wasiwasi mdogo hadi hofu kubwa. Kwa...
  3. Unaogopa jambo gani kwenye maisha lisikutokee

    Katika maisha Yako ukiachana na umauti ambao Kila nafsi itaonja., Ni jambo gani hutamani likutokee Mimi binafsi naogopa Radhi za wazazi na kupata maradhi makubwa kama AIDS na Kansa. Je wewe mwenzangu unaogopa nini lisikukute Jambo gani maisha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…