Kwanza nikiri kabisa nimewahi kumuona Kibu Dee laiv pale Sokoine uwanja wa Mbeya, ni mchezaji mzuri sana mwenye nguvu, spidi, akili, n.k. ila huyu wanaweza kummudu kimtindo jumapili.
Kwa Chama nae sio kitisho mbele ya watu kama Yao Yao.
Ila kuna huyu Noses Phiri sio wa kumchukulia poa hata...