Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².
Nisikuchoshe ndugu yangu, ngoja nizame mazima kwenye mada kuna mwananmke nilikua nampenda sana (ndiyo kabla ya jana alikuwa kila kitu kwangu) anaitwa G, tulikuwa kwenye mahusiano mazito tangu 2019 mpaka jana tulipoweka nukta.
Kilichonichosha mpaka nikaandika uzi huu ni kuwa, jana aliniomba...
Salamu kwenu wana JF, aomba kuuliza kitu wanajamvi,
Ni kipindi gani mtu anapenda kuwa karibu na Mungu kati ya hivi vifuatavyo? Yaani anapenda kusikiliza nyimbo za dini na kusifu, anaswali sana, kufanya toba na ibada, anasoma Biblia au Quran mno;
1. Akiachwa ama kusalitiwa na mpenzi au...
Mkuu wa jeshi la Israel amewaonya maafisa wa Marekani kwamba hivi karibuni Tehran inaweza kupata silaha za nyuklia
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF) Aviv Kochavi ametoa wito kwa Marekani kubuni "mipango mipya ya uendeshaji" ya kulivalia njuga jeshi la Iran, akiwataka maafisa wa ngazi za...
Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina.
Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu...
“Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa.
“Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa kwa sababu tu wako vyama tofauti na wewe,” - Zitto Kabwe akiwa Jimbo la Ruangwa...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za binadamu Nchini (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ametoa maoni kuwa uenda baadhi ya ripoti za Tume na Kamati mbalimbali ambazo huundwa kuchunguza masuala mbalimbali ushindwa kuwekwa wazi kwa kuwa taarifa zinaweza kuwa zinawagusa wenye mamlaka...
Zaidi ya nusu karne baadaye, inahisi kama ulimwengu umesahau masomo ya wakati huo wa ajabu katika historia
'
Mnamo 1961, Amerika ilituma makombora ya masafa ya kati ya Jupiter huko Türkiye, silaha ambazo zingeweza haraka - na kwa urahisi - kufikia miji ya magharibi mwa USSR, pamoja na mji mkuu...
Mashabiki wa Simba wameshapoteza kujiamini wanapocheza na Yanga. Yaani ni bora uwaambie wakacheze na Al Ahly au TP Mazembe lakini si Yanga.
Huwaoni kuvaa jezi za timu yao. Wamepotea sana mtaani, Yanga tu ndiyo wanaonekana. Hawana wasiwasi kabisa na mechi ya leo. Tanzania nzima naambiwa hali ni...
Mtendaji mkuu wakala wa maabara ya veterinali Tanzania TVLA Dk. Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto) ambacho kwa siku za hivi karibuni kuliibuka hofu kwa walaji kuhisi kuwa nyama ya mnyama huyo ina wadudu wenye madhara kwa binadamu.
Dk. Stella Bitanyi Amesema...
Huu ndio ukweli japo mashabiki wa Simba hawawezi kukiri. Yaani Simba wana hofu mara mbili kama siyo mara tatu ya hofu walionayo Alhilal na mashabiki wake.
Mashabiki wa Alhilal wana hofu ya kawaida ya kimchezo kama ambavyo hata mashabiki wa Yanga wanayo.
Hata hivyo, kwa Simba hofu iiliyojificha...
Habari Wana JF,
Mimi ni shabiki na mpenzi wa mziki mzuri haijalishi kaimba nani na kwa lugha gani.
Kwangu Zuchu ni msanii mwenye kipaji na sauti nzuri, lakini Leo nataka tuongelee huu wimbo wake mpya wa KWIKWI. Nadhani watu wanaucheza sana kuliko kusikiliza ujumbe wake
Haya ni baadhi ya maneno...
Tafti zinaonesha watu wengi wanaopigwa mkwara wa ghafla mbele ya kadamnasi au popote hujamba au kujikojolea!
Je kuna uhusiano gani kati ya hofu au vitisho na kujamba?
Nipo nje ya ofisi kidogo Napata muda wakutafakari. Lakini niko nje ya nchi kabisa, kilomita elf 4 toka Dar es salaam, hata simu nazopata ni chache, zile zilizopitia whatsapp tu. Hivyo akili inazidi kuwa tulivu. Na ukiongeza miji yenyewe nilotembelea si ya makelele na miziki mabarabarani wala...
Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani.
Utafiti huo wa Repoa walioufanya kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung ya nchini Ujerumani, mwaka 2021...
Ndugu zangu Watanzania wenzangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,Nawasalimu kwa dhati.Pia nawapa pole wote waliotangulia mbele ya Muumba wao kwa vifo vya kinyama vilivyotokea.Mungu awape ujasiri wafiwa.
Pia bila kuwasahau wagonjwa, wafungwa & mahabusu (Hakuna aliye salama...
Naam wasudan hali ni tete,wanajua kwamba watapigwa kipigo cha mbwa koko tarehe 8 kama wasudan wenzao zalan lakini wanajikaza tu kisabuni.
Sasa jumatano ya week ijayo wanasafiri kuweka kambi ya muda mfupi lubumbashi na wakiwa huko watacheza na team mbovu ya TP Mazembe.
Hawana tofauti na makolo...
Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Awali ya yote ningependa kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya njema mpaka sasa ya kuweza kuandika Makala haya yenye kuleta badiliko kwa jamii hususani kijana na jamii inayotuzunguka katika mstakabali wa maendeleo yao.Pale watakapochukua hatua ya ziada kuondokana na hali ya kusitasita na woga...
Mambo vipi
Sina uwandish mzuri ila nadhan nitakuwa nimeeleweka kwenye ili.
Sio wanawake wote wanaotunza bikra kwa sabab ya hofu ya Mungu wengi wao huogopa kupoteza usichana wao kabla ya ndoa kwa kuhofia endapo wataolewa na mtu tofaut ambae aliemtoa usichana wake.
Mwanamke hupitia wakat mgumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.